PreGE2025 Mdude Nyagali adaiwa kukamatwa na kupigwa na watu waliojitambulisha Polisi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Nimesema sana.....kwanini chadema hawatumii technology? Viko vitu vya bei nafuu sana vingewasaidia kukusanya ushahidi.
Ila naona Tanzania kuna mtu kaamua hata itokee nini, ni lazima awe rais.
 
kwani unadhani hawawajui wenye nazo?
 
Kuandika vizuri huwezi alafu unamuita mtu mjinga
 
Wabongo wengi Malofa sana!
 
Hivi polisi kumkamata mtu ni lazima kumpiga? Hii ni sheria ya wapi?
Kwa nini utaratibu mbovu huu ndio sasa uzoelekee na kukubaliwa kama ni kawaida ya polisi kufanya kazi?
Threatening for the victims and others
 
Huyu si ndio yule aliyesema atamnyoa Bi mkubwa kama alivyomnyoa Magufuli?

Kumbe walikuwa wanamvutia Kasi tu
 
wakosoaji wako wengi mno wengine si viongozi na hawana umaarufu ni wananchi wa kawaida tu walala hoi. Je hao watalindwa/watajilindaje? Maana dola ikiona hata masikini mmoja anatishia maslahi yake itamshughulikia
 
Huyu si ndio yule aliyesema atamnyoa Bi mkubwa kama alivyomnyoa Magufuli?

Kumbe walikuwa wanamvutia Kasi tu
Huyu bwana Huwa ana lugha chafu anatishia viongozi nadhani Sasa ndio muda wa kuonesha umwamba wake.
 
State of terror
Her Excellenve Samia & Hon Bashungwa tjese are really / extremely prove of bad signs.
Police cant behave in such barbaric manner and yet the state keeps quite.
TZ don't slip into terror state and dictatorial acts.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…