kwani unadhani hawawajui wenye nazo?
Wanawajua ,maana hata wamasai tunawajua ,hata wapemba tunawajua ,wamasai sime wapemba visu , ila sio wote na ukiwa nayo kihalali watakujia kwa heshima au hata kukuvizia ,tunakumbuka Yule CCM Waziri alitolewa bastola mwanzo ikasemwa Makonda anahusika ,ila watu wanavunja mlango umo ndani na una mguu wa kuku , siku nyigine watakuja na mwenyekiti wa kijiji na hati ya kukukamatia , msifikiri na wao hawaogopi kufa ,maana maisha matamu hata kama wamekula msuba bado wanajua ama zao ama za wanaemkamata ,
Yemen watu mbona wanahishimiana kule sio pistol wanamiliki SMG na risasi zinauzwa sokoni , na hawafichi waziwazi wanatembea nazo ,na polisi wapo na wanakamata ila hufuata taratibu zote za kisheria . SIo hapa kwetu polisi hata likiwa goigoi hapa Tz linaonekana shujaa.
Unajua Tanzania huhitaji kuwa na silaha ya kujilinda ila kwa hali ilivyo sasa na hii tabia ya uchukuliwaji kiholela na hii jamii ya WATU WASIOJULINA walioivamia Tanzania ,hata sijui Jeshi letu la wananchi lipo wapi inawezekana hawajapata habari kuwa tumevamiwa.
Sokoni Yemeni huuilizwi ruhusa wala kibali unahitaji kujiarm na kujilinda na wasiojulikana ,usisubiri kuokotwa.