Wagumu Tunadumu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 7,591
- 23,296
hilo sio jambo la kuhisi, huo ni kuweli mtupu gentleman, mahitaji masaada wa kisaikolojia, rehabilitation centers zitaongezwa nchi nzima ili msaidiweKwa hiyo kwa fikra zako unahisi naishi karatu kama wewe 🤔 nyie wajinga wajinga machawa wa humu tunawaribisha sana CH
Acha nikuchane leo , nyie ni wajinga wadogo wadogo tu kwenye hicho kikundi chenu , unajua kuwa humu tuna ndugu Tanzania wapo kwenye system za kueleweka kuliko wewe chawa maskini , tena tangu kitambo hichoo? Acha kutumika kipumbavu kama as,,,wipe men tafuta kazi ya kufanya hata kama ni kupika viepe upate pesa men, huu ni ushauri wangu wa mwisho wa maana na kukupa humu la zaidi nitakalo fanya nikukuchora tu kama kibwengo humu gademiiithilo sio jambo la kuhisi, huo ni kuweli mtupu gentleman, mahitaji masaada wa kisaikolojia, rehabilitation centers zitaongezwa nchi nzima ili msaidiwe
relax and calm down bas gentleman dah!Acha nikuchane leo , nyie ni wajinga wadogo wadogo tu kwenye hicho kikundi chenu , unajua kuwa humu tuna ndugu Tanzania wapo kwenye system za kueleweka kuliko wewe chawa maskini , tena tangu kitambo hichoo? Acha kutumika kipumbavu kama as,,,wipe men tafuta kazi ya kufanya hata kama ni kupika viepe upate pesa men, huu ni ushauri wangu wa mwisho wa maana na kukupa humu la zaidi nitakalo fanya nikukuchora tu kama kibwengo humu gademiiit
Mimi nimemalizana kibingwa sana na wewe gentleman , yatakayoendelea ujue ni mazungumzo ya mimi kuwa kwenye pombe zangu na utani tu wa kirafiki , kuwa serious kuhusu wewe nimemaliza bwashee. 🙏relax and calm down bas gentleman dah!
unyonge wa kiuchumi ni kitu mbaya sana aise maishani, but tupo pamoja gentleman
Tell me some? Shule sikusomea ujinga kama wewe mofo uliesoma kidumu na fagio na mna expect watoto wetu wa embrace ujinga huo wenuUnanijibu kwa kizungu chako cha ugoko ili iweje?😂
Lakini Mbowe na Magufuli walikuwa kama paka na panya. Saanane alitekwa na watu wa Magufuli.Hajasema Mbowe ndiye aliyemuua bali alilengesha hadi wauaji kumdaka.
Kweli kabisa. Hebu fikiria mtu kama Mdude. Amekuwepo tangu awamu ya Magufuli na sidhani kama alikuwa na impact yoyote kwenye kuamua rais vs urais. Hakuwa na wafuasi ambao angeweza kuwahamasisha na kuleta madhara kwa utawala. Mtu wa aina hiyo kumuua kunaleta negative impact kwa watawala kuliko kumwacha.Kuua watu kwa sababu ya tumbo kisa tu mnatofautiana mawazo njia hii ilishashindikana duniani pote walitumia kina Hitler,idi Amina,mobutu ,kamuzu Banda,makaburu nk wakachemka zikawabackfire.
Thus zikaja njia za kidemokrasia.
Zipo njia zaidi ya elf 1 za kuwasilence watu bila kuwaua.
Sasa ukiwaua utawaongoza kina nani
Tumemkosea nini Mungu sisi!
Hata mimi niliamini hivyo lakini kwa sasa nimegundua nilikosea. Tabia za Mbowe tangu ashindwe kwenye uchaguzi zimefumbua vitendawili vingi sana. Mbowe huyu siye Mbowe tuliyemjua sasa amejionyesha rangi zake halisi.Lakini Mbowe na Magufuli walikuwa kama paka na panya. Saanane alitekwa na watu wa Magufuli.
SureHata mimi niliamini hivyo lakini kwa sasa nimegundua nilikosea. Tabia za Mbowe tangu ashindwe kwenye uchaguzi zimefumbua vitendawili vingi sana. Mbowe huyu siye Mbowe tuliyemjua sasa amejionyesha rangi zake halisi.
maarifa, hekima, busara na utiiTumemkosea nini Mungu sisi!
Kosa lenu ni hilo kufikiri kuna Mungu wa kutatua shida zenu. Hajawahi kuwepo!Tumemkosea nini Mungu sisi!