Mdude Nyagali kupatikana tena ni 5%. Poleni sana Watanzania

Sasa kama mtu hajulikani alipo masaa 20 baada ya kupigwa vibaya na kutekwa na watu waliojitambulisha kama polisi harafu Polisi wanadai hawajui alipo, atakuwa wapi?

Nadhani this time around hawataionyesha kabisa maiti yake kama walivyofanya kwa marehemu Kibao

Matendo haya sio ya Kitanganyika kabisa
 
Maadam polisi wamekanusha kuhusika na tukio,basi imeisha hiyo,ila dogo ni domokaya sana yaani,hana staha..pole kwake
 
Kuna ile clip ya kigogo kigogo inaonyesha watu wamefungwa kichwa chibi miguu juu wakatundikwa wazima halafu wakazungushiwa nailon jeusi mwili mzima Ili wakose hewa kabisa wafe!!

Niliinagalia clip ile mara mia sikuchoka,nilitetemeka sana!!

Ni rasmi anaelekeza yote haya amekata tamaa ya maisha yake binafsi au ananyemelewa na kifo ndio maana hataki kufa peke yake!!

NAWAZA TU!!
 
Matanzania majinga yamekalia simba na Yanga shame on you all. Damu za watu zinamwagika nyie mkiletewa simba na Yanga mnasahau kila kitu.
Shame on you to the moon and back.
Tuache starehe ya kushangilia mpira, tukamshabikie mtu mporomosha matusi??

Hiyo kazi tumewaachia nyinyi, si mnajiita makamanda!! Ingieni barabarani dada
 
Nimetukana tusi kubwa sana toka nisikie hii taarifa!Haya majambazi policcm yanahusika 100%
 
Ni kweli. Sidhani kama atapatikana tena hai. Tunachoweza kufanya ni kuchunguza kwa undani na kujua walau watu walio nyuma ya huu unyama. Mkuu wa polisi wa mkoa anahusika na anajua kila kitu.
Tukiwajua naomba tusiseme tutawafanya nini. Kwanza wanyonge sisi tunaweza kuwafanya chochote kweli. Miili yao chuma ukibonyeza haibonyei.
 
Matanzania majinga yamekalia simba na Yanga shame on you all. Damu za watu zinamwagika nyie mkiletewa simba na Yanga mnasahau kila kitu.
Shame on you to the moon and back.
Usitutukane wewe fala. Chukua tahadhari ya peke yako na familia yako....kwani lazima sote tuwe wanasiasa....kwa Hali ilivyo Nani atatubuthu kutoa pua nje.... mwenyewe hapo unatuchamba ukiwa shimoni. Bladifakeni
 
Your browser is not able to display this video.
 
Reactions: vnn
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…