Sangamwalogesha
JF-Expert Member
- Mar 10, 2025
- 2,153
- 1,419
We ni kunguru tu tena wa PembaSijui rais Huwa anajisikiaje watu akiwa anawaua kinyama namba hii.yaani unathamini madaraka kuliko utu?Hata polisi unayeua Kwa kuambiwa tu na watawala ni ujinga mkubwa sana.Ipo siku uoga wa watanzania utaisha na kuing'oa vitani kamili na hawataweza kuzuia Tena.Nchi zilizostaraabika huwezi kusikia mtu kauliwa kisa kakosia serikali
Natetea ujinga si ndio? Haya endelea yakikukuta usije kutulilia.Unatetea ujinga ndugu, hata kama ni U-CCM-kama ambavyo huku mitaani tunaishi bila kujali itikadi za vyama na hata kwenye kutetea uhai tusijali vyama vyetu.
Sema hizi mambo zinamwisho - 2030 sio mbali - CCM kitawaka - 2015 Magufuli aliwaokoa - ngoma iliishakuwa ngumu - kuna watu tu miongoni mwetu wanaona haya mambo but they cant say - wanaogopa - Kuna njemba itaibuliwa from nowhere tu kama Magufuli just wait and see
Another pumpkin, faggot!Natetea ujinga si ndio? Haya endelea yakikukuta usije kutulilia.
Hata hiyo Mdude wenu mara nyingi ameandikiwa nyuzi humu za kukwambia anatumia Lugha za kutweza utu wa mtu Kwa kisingizio Cha ukosoajo huku akijigamba.
Haya Sasa Kiko wapi.
Mwisho kwani akoibuliwa mtu kama Magufuli si ni Yale Yale na disaster zaidi?
Sasa hueleweki mara Magufuli mara kiswaka yaani huna utulivu wa akili na huelewi unachotaka.
Uliniuliza Mimi na bila shaka na wengi wa kwenye system watakwambia kutokuwepo Mwendazake ni Bora Kuliko angekuwepo ila mnajisahulisha Kwa sababu mnazozijua.
Enzi za yule mtu wenu hakuna media ingethubu hata kufanya mjadala wowote,hao ma ripota wenu wa media za.kimataifa waliufyata.
Na Kwa taarifa Yako tuu niliwahi Waonya watu kabla ya Magu kwamba akiwa Rais atakuwa dikteta.
Mimi nafahamu Kwa kusoma trend ya siasa ni kwamba 2030 ccm wataweka.mtu ambae atakuwa anaongea Lugha za Wapinzani lakini thus time watakuwa na tahadhari japo mtu hatabiriki asije kuwa katili kama Mwendazake.
Nchi hii watu wameaminishwaujinga kwamba Wapinzani wakishika Dola Watapata maisha safi jambo ambalo halipo na halitakaa kitokee maana kuingiza Nchi ni tofauti na kuongea mdomoni.
Lugha za kina mdude zilikuwa hivi hiviAnother pumpkin, faggot!
Tuna watoto wadogo Bado wadogo wanasoma, tukifa wataishi vipi?WAtz sisi ni watu wa ajabu sana, nafikiri Africa nzima - sisi ndo tunaongoza kwa uzombi, Haya na nyie CDM mtu wenu kama mdude anapotea- mnapiga kimya, mtaweza kuusimamisha uchaguzi kweli????Rwanda kumenoga yule Bwana slim wanamkosakosa, Kenya hapo watu wanavibe hatari, Uganda mseveni na ubabe watu hawapoi, Burundi hapo sio poa,DRC kule watu wanakiwasha mashariki sio mchezo, Ethiopia pale zimetoka kuchezwa muda sio mrefu, Hivi sisi ndo serikali yetu ni TAKATIFU...viongozi wetu wanatuangusha sana - mtu mzima anapotea kama upepo tu..
Una akiliHuwezi kuua watu wote.
Maana kuna watu Mungu kawawekea kivuli chake.
Hawa watu ukiwaua huwezi kuishi.
Niwaambie wana CCM wenzangu.
Tukubali kukosolewa, kwani kuna hasara gani tukikosolewa?.
Umeongea 'past tense' mkuu,kuna kitu unajua!?Lugha za kina mdude zilikuwa hivi hivi
Bahati mbaya watu kama nyie hamjulikani mitaani.Lugha za kina mdude zilikuwa hivi hivi
Japo si vizuri lakini mdude alikua domokaya, matusi, heshima 0Dah hivi hii yote ni sababu tu ya madaraka? Mdude😭😭😭 nimeumia sana mdude😭
Mwalimu wa Jiwe anatoa Lecture Sasa. Na hii ya Sasa ndio kufuru.asije kuwa katili kama Mwendazake.
TunajulikanaBahati mbaya watu kama nyie hamjulikani mitaani.
Daaah kwanini CCM manfurahia damu ya binadamu mwenzenu kumwagika.Unafikiri hutakufa wewe? Fedha halamu za CCM zinakudanganya wakati huu.,IPO SIKU UTAJIKUTA KATIKATI YA MBINGUB NA ARDHI DAMU ZA KIBAO,SOKA NA WENNGINEO UTAZIKUMBUKA ,IPO SIKUMambo ya kujitakia tu. Kwani lazima aseme yeye? Hakuwa na kazi nyingine ya kufanya?? Mtu binafsi huwezi kushindana na vyombo vya dola.
Kiburi, matusi vimemponza
usitukane watu babu, we umefanya nini?Kutype humu?Matanzania majinga yamekalia simba na Yanga shame on you all. Damu za watu zinamwagika nyie mkiletewa simba na Yanga mnasahau kila kitu.
Shame on you to the moon and back.