Mdude Nyagali, shikilia hapo hapo na usipoe

WEMBE NI ULEULE!
hakuna lugha ingine ccm watakayo ielewa.
 
Reactions: Qwy
Hapana, Mdude anapaswa kubadilika, siyo kwa sababu ya kuongea aliyoyaongea juzi akimtisha rais Samia, bali anapaswa kubadilika kitabia sababu ni mtu asiye na hoja na ni mropokaji tu.
Huyo dogo ni mpumbavu anatakiwa mabadiliko aisee! Hawa ndio wanasababisha vijana wa CHADEMA kuitwa nyumbu!
 
WEMBE NI ULEULE!
hakuna lugha ingine ccm watakayo ielewa.
Tunamdanganya,, Siku wakimrundika kusikojulikana atakuwa peke yake Sisi tunaendelea kutafuna dona, shauri yake!
 
Tunamdanganya,, Siku wakimrundika kusikojulikana atakuwa peke yake Sisi tunaendelea kutafuna dona, shauri yake!
Bila watu majasiri kujitolea muda, radilimali na hata uhari, uhuru haungepatikana ktk jamii mbalimbali. Wembe ni uleule- tusipotezeane focus.
TUNATAKA KATIBA MPYA.
 
Ashikilie njia ya matusi
 
Hapa naona wengi wa waliokuwa wakisema Mdude kakaa jela muda wa kutosha atakuwa ameshika adabu na ataufyata mkia ndiyo wanaongoza kwa vilio baada ya kubaini hajabadilika na yuko real vile vile kama alivyokuwa kabla ya kubambikiwa kesi uchwara na genge la Hamnazo na wenzake, huo msimo wake unafaa kwani si wote wenye uwezo wa kupambania wanayoyaamini bila kuogopa consequences.

Mdude ana aina ya spirit ambayo ni wachache waliojaliwa nayo, wapo wanaotamani battle ya aina hiyo lakini uoga huwarudisha nyuma na wapo ambao husubiri mmoja aanzishe ndipo nao hujitokeza kuunga mapambano.

Let him lead wengine watafuata kama lengo lao ni moja, kama amevunja sheria wamshitaki kwa makosa aliyoyafanya na si kuja na vikete vya ngada kumbambikia.

Azidi kulaaniwa fashisti Hamnazo huko aliko.
 
Tabia ya aina ya Nyagali ni lazima uwekwe behind bars mara nyingi! Thats a “Notorious” behaviour
 
Sijawahi kusikia siasa ni kukosoa na kutoa lugha ya kutusi, we endelea kumdanganya mwenzio tu na unajificha hapa unatype.......hakuna anayekataa kukosoa ila lazima kuheshimu mamlaka iliyopo
 
Mkuu alipokuwa lupango ulimpelekea hata kipande cha sabuni ya jamaa........au unamjaza maneno huku wewe umejificha nyuma ya keyboard.
Anashangilia “siasa za usela mavi” za bwana mdude
 
Watu kama kina mdude ndio wanaofanya chadema ionekane genge la wahuni
Siasa za “usela mavi” ziko CHADEMA watu wazima wenye Calibre ya watoto wa Form 2 waliochanganywa na balehe!
 
Siasa za “usela mavi” ziko CHADEMA watu wazima wenye Calibre ya watoto wa Form 2 waliochanganywa na balehe!
Kabisa mkuu!
.
Hebu ona mtu kama Lisu, yani hana tofauti na mmawia wa hapa jf.
 
Kwani huyo mwehu ana cheo gani huko chadema,?ndiyo mkuu wa bavicha au,ndiyo succession plan ya chama siyo,mmekula hasara
 
Kwani huyo mwehu ana cheo gani huko chadema,?ndiyo mkuu wa bavicha au,ndiyo succession plan ya chama siyo,mmekula ha
 
Mngekuwa mnaamini katika uwezo wake, mgekuwa tayari mmempa nafasi huko CHADEMA. Hamuwezi kufany hivyo sababu mnajua ni liability, na toilet paper mnayoitumia tu chooni lakini huwezi kuileta sitting room kufutia sahani😀. Mnapata dhambi. Mdude alipata misuko suko muda mrefu hakuna watu walikuwa wanamjali. Walipoona kuna dalili ya kuachiliwa, mkaona hapa hapa tuchomoze tena, mnamtumia mnatupa huko. Mdude ni nobody ndani ya CHADEMA. Angelijua hilo angetulia
 
Jpm analima kwa meno huko chato,mungu fundi kelbu moja tu ya covid kameza ulimi tumemsahau kama hakuepo...mavuvuzela wake mnalia njaa n ukata mama kawasahau kwenye teuzi
 
Jpm analima kwa meno huko chato,mungu fundi kelbu moja tu ya covid kameza ulimi tumemsahau kama hakuepo...mavuvuzela wake mnalia njaa n ukata mama kawasahau kwenye teuzi
Kifo ni cha wote tofauti ni siku tu. Huu ujinga mnaonfanyia Rais wa sasa mlimfanyia JK pia kwa RIP mlificha mkia tumboni kaka mbwa koko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…