Mdude Nyagali, siasa zako sio nzuri. Jirekebishe

Aozee jela kwa makosa gani wakati mahakama imemkuta hana hatia? kumbe mnapenda udikteta bila kujua halafu kesho tena mnaanza kulia hamtaki udikteta!.
Wewe hujui siasa za Africa na madaraka ya Rais, Ben saanane alipotea hivi hivi loh. Mdude ajirekebishe
 
Pamoja na kuwa anaonewa huruma sana ila tangu mwanzo amekuwa akitumia lugha ambayo haina staha sana, hata kama hatukubaliani kiitikadi inatakiwa tushindane kwa hoja na tuheshimu mamlaka zilizopo......uhuru bila mipaka ni fujo
 
Sidhani kama unaelewa unachoandika, endelea kupiga filimbi tu bibie.
Mkuu na wewe hujielewi mtu mzima anashabikia mtu asiye na adabu, Mimi sikuwa shabikk wa jiwe ila lugha ya mdude ilikuwa chafu na kuvunjia heshima wakubwa in the name of politics
 
Huu ndio uhuru wanaoutaka chadema.

Uhuru wa kumwaga matusi na kudhalilisha!

Wakishughulikiwa wanalia liaa... ohh tunanyanyaswa hatuna uhuru!

Chaaaa!!
Mimi sina tatizo sana na kejeli.

Mimi nina tatizo na uongo.

Mdude kamnyoa nani, wapi, lini, kivipi?

The guy just got out of jail for being catfished by a common whore.

What is this shaving he is talking about?

The whore's pubic hair?

Mdude kavuliwa nguo, badala ya kuchutama watu wamfunike wamsitiri, anaanza kukimbia uchi kijiji kizima akipiga kelele.
 
Kwani Lipumba mwenye professor si alikua CUF damu na mbona baadae aligeuka na kuwa mnafiki, watz sisi kitu ukweli hatupendi kabisa
Unafkria kwa hivyo mlivyo watu kama nyinyi ndio ccm itatoa madaraka kuwakadhi? Dunia nzima hakuna sehem wanatoa haki kama hivyo
 
Itakua alikua na baasha wake jela hivyo amemkumbuka.

Siunajua wenye ndoa zao ndani huwa hawachelewi kuharibu ili warudishwe tena.
 

Shukrani ya punda ni mateke. Samia ndio hero wako kama hujui ndugu kibwetele kidudu kidudwe
 
Swali langu je Jemadari Mdude alishawahi kufikishwa Mahakamani kwa kosa la kumtukana Mwananchi yeyote? au kutukana sio kosa la jinai? tokea lini hukumu ya kutukana inakawa ni kutekwa na kubambikiwa kesi? Naomba majibu tafadhali usitoke nje ya Mada.
sitoki nje ya mada,nataka kichwa chako kikae sawa kama binaadamu mtu mzima.

kama alikutwa na madawa ya kulevya bila kujali ni ya kwake au kawekewa,kwanini amechiwa!!!
 
Kwani kunyoa ndio kuua? Kwanini udhani mdude ndio alimuua Magu?

Magu si alikufa mdude akiwa gerezani ?
Magufuli amekuwa madarakani mpaka alipofariki.

Sasa Mdude kamnyoa vipi Magufuli?

Mdude hakumshinda Magufuli katika uchaguzi. Hakumshinda mahakamani.

Kitu pekee ambacho kimantiki Mdude anaweza kudai kwamba kamnyoa Magufuli ni kama Mdude kashiriki katika njama za kumuua Magufuli na kafanikiwa.

Ndiyo hapo swali la kuuliza kama Mdude kamuua Magufuli linakuja.

Kwa sababu, kama hajamuua, kamnyoaje?
 
Lakini amesema akileta jeuri si ndio?

Lakin kama aki mtusi raisi ashitakiwe kwa kosa hilo na afungwe sio kubambikiwa kesi
 
They can do better, inawezekana long term strategy za opposition zilikuwa based on the existence of Magufuli, the opposition needed Magufuli more than the ruling party katika hiki kipindi hiki (2020 - 2025).

Magufuli was poor kwenye propaganda za kuonyesha utawala wake ni wa kidemokrasia, aliwapa wapinzani justification ya "rafu" nyingi walizokuwa wakilalamikia, huenda aliwafundisha hata watu wengi mapungufu ya katiba iliyopo na umuhimu wa kumpunguzia Rais mamlaka.

With Samia uwanja wa siasa umebadilika, as much as anaweza kuwa anafanya yale yale au hata akaja kuwakandamiza upinzani zaidi lakini ni mtulivu na makini zaidi kwenye maneno matamu yanayompa "sifa" sio ndani tu ya nchi hata katika vyombo vya kimataifa, hata upinzani waliingia mkenge na kuanza kumsifia. Upinzani umeshituka wakiendelea hivyo wanaweza kupoteza relevancy, ndio maana wameamua kuwa aggressive na ishu ya katiba mpya, na huo ndio mtihani alionao Rais kwa sasa kama atataka kuendelea kuonekana ni mtenda haki ni jinsi atakavyojibu madai hayo ya katiba mpya.

Mdude hajamnyoa yoyote, hata huo wembe hana, anajaribu kupata relevancy kama mwanasiasa.
 
Sasa ww utaamini vp kama ccm wanaiba kura wakati taari akili yako inaamini upinzani haiwezi kushinda hata mbunge mmoja ?
 
Ok
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…