Mdude Nyagali, siasa zako sio nzuri. Jirekebishe

sitoki nje ya mada,nataka kichwa chako kikae sawa kama binaadamu mtu mzima.

kama alikutwa na madawa ya kulevya bila kujali ni ya kwake au kawekewa,kwanini amechiwa!!!
Rufaa iko wazi, na huu uzi unasema "Mdude grow up, siasa zako za kishamba" sasa Mdude kuuza Madawa ya kulevya wewe unafikiri ni Siasa za kishamba?
 
[emoji23][emoji23]..Jiwe ana brand names kibao mkuu,so don't get twisted.
[emoji23]sijuu alipokuwa akisoma humu alijisikiaje, mwenzake Idd amin aliwapigia simu waandaaji wa filamu yake na kuwapongeza
 
Samia anarudi kwa Magufi kuwapa wapinzani relevancy kwa kuendelea kukataa mikutano ya siasa nje ya majimbo.

Kwenye katiba mpya I can sympathize with her more, si jambo la kufanya mara moja.

Watu wa CHADEMA inabidi wampange Mdude.

Inaonekana akili yake ndogo ile ile iliyomfanya awe catfished na a common whore inamfanya alete propaganda za uongo kwamba kamnyoa mtu wakati hata akipewa wembe hajui kuushika na most likely atajikata na kujiumiza mwenyewe.
 
Kosa la huyu kijana ni lipi Cariha mpenzi? Sidhani kama kuna tusi katika maandishi yake. Shida kubwa ni jamii yetu ambayo imejengwa katika misingi ya uoga na viongozi wetu miungu watu ambao hawaguswi!!! Pole Mdude, upo sahihi lakini kwa jamii isiyo sahihi.
Sasa hivi wakimkamata wamfunge maisha kijana Hana busara huyu hafu eti husoma na biblia kabisa. Mdude ajifunnze na aache ujinga Tena amshukuru mama ingekuwa jiwe angeozea jela
 
Umeandika vizuri sana mkuu.
 
Mdude hutumia lugha isiyo na staha, Sasa atamnyoa mama kwa lipi maana kipindi Cha mwendazake lugha yake haikuwa ya staha, vepe mama ange nyuti afie jela Moja kwa moja
 
Ushauri mzuri.
 
Sweka ndani huyo mdude sijui mdudu inawezekana hapendi uhuru aliopewa
 
Sasa ww utaamini vp kama ccm wanaiba kura wakati taari akili yako inaamini upinzani haiwezi kushinda hata mbunge mmoja ?
Kwanza kabisa, sitaki kuamini, nataka kujua. Unaelewa tofauti?

Pili, wapi unatoa hii dhana kwamba akili yangu inaamini upinzani hauwezi kushinda hata mbunge mmoja?

Unajua kusoma kwa ufahamu?

Tatu, Mdude kamnyoa nani, lini wapi, kivipi?
 
Maoni ya Rais Kikwete akaongea na Balozi wa Marekani ofisini kwake.

“We do not harbor any illusions about a broad basis of support between our two parties supporters, which I think animated some of the approach back then.

We view the forthcoming meeting with Mbowe and indeed opposition Party leaders as an important tool to manage what has always been a persistently difficult relationship.”
 
Hahaha kwenye logical reasoning hii BAVICHA hutawaona
 
Mdude hayuko sawa kichwani

Kwa mtu aliyechagua njia yake ya mafanikio iwe ni kupitia kwenye siasa huwa anachunga sana matendo na maneno anayotoa hadharani... iwe ni kwa hasimu wake au swahiba yake.

Vinginevyo kama ile hospitali pale dodoma bado ipo wamsaidie Mdude maana hayuko sawa kichwani
 
Sasa hivi wakimkamata wamfunge maisha kijana Hana busara huyu hafu eti husoma na biblia kabisa. Mdude ajifunnze na aache ujinga Tena amshukuru mama ingekuwa jiwe angeozea jela
Kweli kazidi, hata wewe umeona mamito
 

Respect kwako Kiranga💪
 
Hii ni wasifu ambao uswahili tunaita "Kizalia". Huwezi kumbadilisha huyu zaidi ya kumvumilia kwa yanayovumilika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…