Mdude Nyagali, siasa zako sio nzuri. Jirekebishe

mbowe kama ana akili amuonye hizo siyo siasa anamharibia na yeye yaani wote wanaonekana hawana akili kumbe asiye na aakili ni huo tu mdude ingawaje na mbowe jana kaanza kudemka utamlazimishaje rais afanye unavyotaka?
 
Kwa mjibu wa Vitabu nilivyoshika hapa vya Imani
Dunia haitakaa iwe SALAMA
wengi watakuwa hawana maadili
Kumtukana mtu , au kumkosoa kwa lugha chafu VITAZIDI

Halafu kumpiga mtu risasi ili kumthibiti nayo itakuwa jambo la KAWAIDA kifupi wengi wanatatenda kwa nguvu za Maruhani(Demons)

Jambo la Kweli ni hili hakuna mtu asiyepata hasira kwa hiyo hasira husababisha kutenda kwa jazba na mhemuko
Tusilazimishe mtu AFANYE

Kauli ya Rais ilikuwa ya kiungwana sana kuwa tutende kwa "heshima zetu za Kiafrika"
Mwenye akili anaweza kujua kuwa ipo mipaka Rais anaona inavukwa. TUSIMULAZIMISHE ATENDE KWA JAZBA

Hata hao wanaharakati wengine WANASHERIA ukimtia kidole sehemu ya faragha mbele za watu ATA PROVOKE tu hata awe Jaji kwenyekiti cha maamuzi aweza kurusha ngumi.

Kwana watu nawakubali, Mbowe asibadilike aanza alivyokuwa sivyo sisi Tunamkubali Upinzani wake , usio na matukano au kudhalilisha hadhi ya mtu.
Lema pia ana hekima ya kusema maneno hadi tunafikia kumuita Mch au nabii.

Wengine wanadhani kutukana ndio Uanaharakati.
Ukiwatukana Machizi wenzio kama ulivyo Wakakulima risasi nao kwa kukosa hekima HATUTAKUPONGEZA eti ni mfia haki. Ni mjinga tu.

Adui wengi mkubwa ni Ibilisi
Anafuata ni wale wanyonyaji wa Rasilimali zetu.
Sisi wenye pua kama kitumbua tusizozane, tuungane, tukitofautiana tutafute namna ya kuafikiana. Sisi ni UKOO mmoja
 
Hawa ndio watu mi husikiliza
 
Aisee! Watu mnajiamini sana aiseee!! Uraiani kuzuri rafiki yangu, usiombee ufike kule aisee!!
Nifike kwa kosa gani mkuu, kama nimevunja sheria nitafika kama sijavunja sheria labda wanifikishe kwa kutumia nguvu + kipigo
 
Weka aya bhana
 
Siasa na harakati zake ni zile zile zitaendelezwa awamu hii. Kosa ni nini hapo? Hiyo tunaiita figurative language.. hakuna kosa hapo. Au ulifikiri anazungumzia ule wembe tunyoleao vikwapa ??
 
MMMM mbona huyu dogo anajitafutia matatizo ?
hivi alimnyoa vipi Mgaufuli? mbona mimi sielewi?
 
Yaan yuvisisiemu mnatuangusha Sana nyie Wala hamkumbuki kauli za akina James,Sabaya ,Shaka na wengine
Tuwe fair kujurge mambo..



La sivyo tuache siasa tukalime nyanya tu.
 
Huenda hajui kuna watu wengi wakumfikia kabla ya mama.
 
Rufaa iko wazi, na huu uzi unasema "Mdude grow up, siasa zako za kishamba" sasa Mdude kuuza Madawa ya kulevya wewe unafikiri ni Siasa za kishamba?
lugha za kipumbavu,ndio siasa za kishamba.

kuwa mpinzani sio tiketi ya kuongea mashudu 24hrs kwa watawala na viongozi,na hata wenzie kama hawamkemei na kuonyesha kusikitishwa ni washamba pia.
 
[emoji23]sijuu alipokuwa akisoma humu alijisikiaje, mwenzake Idd amin aliwapigia simu waandaaji wa filamu yake na kuwapongeza
hata yeye pia,rejea maneno yake kwa masoud.

ndio maana wengi wao walikuwa wanaumia sana,maana unamchokonoa mtu anakupuuza tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…