Mdude Nyagali, siasa zako sio nzuri. Jirekebishe

huyo mama anayesema atamnyoa angeweza kukazia kwamba yale madawa aliyobambikiziwa ni yake na angeenda jela maisha kelele zingepigwa kisha zingesahaulika na maisha yangeendelea bila yeye

Kumbe mnakiri kubambikiza, na bado mnaamini sheria haziko huru ila kauli za Rais…. hovyo kabisa ninyi watumwa wa fikra.
 
Wewe si mzima unatukana tu hujui kujenga hoja jifunze kuwa smart unashindana na mwenye mamlaka utapotea mazima, use proper chanel na uache matusi wewe. Hafu unaita weusi wakati wewe mwenyewe uko ka gorrilla
 
Mdude ajitathmini na siasa zake maji taka. Ajifunze kwa Lissu au Mbowe
 
Naichukia sana Demokrasia toka moyoni mwangu.

Hawa watu wanadekezwa sana. Mtu kama huyu akipewa stahiki yake,kuna watu watakuja kumtetea.
 
Mtawala hakosolewi hadharani. Tangu dunia inaumbwa.
 
Tumemsikia sote wakati anatamka hiyo kauli, Mimi mwanayanga nikimwambia Mh. Job Ndugai "Jana tumekunyoa kwa wembe" itakuwa nimekosa staha?

Mama alisema "Ukinizingua , nakuzingua" .. Je ina tofauti na kauli ya Mdude kuwa "Akizingua na yeye atazinguliwa kama walivyomzingua mtangulizi"

Ni kweli hatujui wembe alioumaanisha Mdude kwenye hiyo Kauli, Kama anasema Wembe waliomnyolea JPM ndo watautumia. Je, ni kweli JPM alinyolewa Nywele kama mnavyotaka kumaanisha?. Kwa hiyo "Mtoto akililia wembe aachwe ajikate" nayo haijaelewekaga kwa jamii yetu pia?

Tuache kujipendekeza sana. Tatizo letu sisi ndo yale mambo ya utu wa kiafrika ambayo tunayalazimisha. Kijana amemwambia hivyo Rais wa nchi, siyo mama yake kama inavyotaka kuonyeshwa. Nyumbani Mkubwa akosei , lakini unapokuwa mtumishi wa Umma ni lazima ukosolewe, kutahadharishwa na kusifiwa pia ikibidi. Kama hujajiandaa kwa haya usiombe nafasi ktk ofisi.

Tujiulize Staha ni kumpa mashtaka ya uongo na kumtunza gerezani siku 414? Mdude leo anaonekana 'drug dealer' mtu ambaye havuti hata sigara, nani amemuomba radhi? Halafu mnataka kumpangia jinsi ya kutoa maoni yake na hata hisia zake mnataka kuziratibu... Nyie hisia zenu nani anaziratibu?

Ieleweke wazi ukiwa ofisi ya Umma, kubali kukosolewa, kusemwa, kuhadharishwa. Muradi Katiba na sheria za nchi zisivunjwe.

ANAYEONA MDUDE AMEKOSEA, ANAWEZA KWENDA MAHAKAMNI KUMSHITAKI AU KUPATA TAFSIRI YA KISHERIA


Ukisikiliza hii nyimbo , jiulize hiyo "Mbwai na iwe Mbwai" ni nini?. Ndo staha?. Lakini kiuhalisia ina maana nyingi na inaweza isiwe hiyo ya shari tunayohisi imemaanishwa na waimbaji.
 
'CHADEMA wanawanyoa mama zao'

Ndiyo adabu ya chama hiyo
 
CCM walisha kwisha.tena wamekufa na kuoza.hata akili ndio maana hazipo tena wamebaki na dola la polisi na usalama. Nje ya hapo hakuna CCM.
 
Shida siyo nani kasema nini? Bali shida nani kamwambia nani na kamwambia nini?
 
Hapa Bashiru akiwatukana Kinana na Makamba kipindi walipoandika barua kwenda CCM kulalamikia matusi ya Musiba





 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…