TheCombination
JF-Expert Member
- May 21, 2021
- 370
- 729
ExactlyYani watu hawajielewi kabisa.
Mama ni jina tu kapewa kama Social Alias. Wao wanamuona kama Mama yao nyumbani. Kweli kiafrica na kiheshima ni mama. Yanapokuja maswali ya Nchi huyu ni Rais kama alivyokuwa Kaka Jiwe. Na itabaki hivyo
You are stupid
Mkuu umeeleza VIZURI ,Tumemsikia sote wakati anatamka hiyo kauli, Mimi mwanayanga nikimwambia Mh. Job Ndugai "Jana tumekunyoa kwa wembe" itakuwa nimekosa staha?
Mama alisema "Ukinizingua , nakuzingua" .. Je ina tofauti na kauli ya Mdude kuwa "Akizingua na yeye atazinguliwa kama walivyomzingua mtangulizi"
Ni kweli hatujui wembe alioumaanisha Mdude kwenye hiyo Kauli, Kama anasema Wembe waliomnyolea JPM ndo watautumia. Je, ni kweli JPM alinyolewa Nywele kama mnavyotaka kumaanisha?. Kwa hiyo "Mtoto akililia wembe aachwe ajikate" nayo haijaelewekaga kwa jamii yetu pia?
Tuache kujipendekeza sana. Tatizo letu sisi ndo yale mambo ya utu wa kiafrika ambayo tunayalazimisha. Kijana amemwambia hivyo Rais wa nchi, siyo mama yake kama inavyotaka kuonyeshwa. Nyumbani Mkubwa akosei , lakini unapokuwa mtumishi wa Umma ni lazima ukosolewe, kutahadharishwa na kusifiwa pia ikibidi. Kama hujajiandaa kwa haya usiombe nafasi ktk ofisi.
Tujiulize Staha ni kumpa mashtaka ya uongo na kumtunza gerezani siku 414? Mdude leo anaonekana 'drug dealer' mtu ambaye havuti hata sigara, nani amemuomba radhi? Halafu mnataka kumpangia jinsi ya kutoa maoni yake na hata hisia zake mnataka kuziratibu... Nyie hisia zenu nani anaziratibu?
Ieleweke wazi ukiwa ofisi ya Umma, kubali kukosolewa, kusemwa, kuhadharishwa. Muradi Katiba na sheria za nchi zisivunjwe.
ANAYEONA MDUDE AMEKOSEA, ANAWEZA KWENDA MAHAKAMNI KUMSHITAKI AU KUPATA TAFSIRI YA KISHERIA
Ukisikiliza hii nyimbo , jiulize hiyo "Mbwai na iwe Mbwai" ni nini?. Ndo staha?. Lakini kiuhalisia ina maana nyingi na inaweza isiwe hiyo ya shari tunayohisi imemaanishwa na waimbaji.
Ila pia Chama Cha siasa kikizoea wizi mwisho wanakua majangili, ndo maana tukayaona ya uchaguzi wa 2020, kuanzia uchaguzi wa serikali za mtaaChama cha siasa kikishindwa uchaguzi mara 3 kinageuka kuwa cha kigaidi..
Ndiko hii saccos chadema inakoelekea
Nimecheka sana. Kiongozi wa nchi yule mkuu ni mtawala. Usiwe mjinga kiasi hiki. Ndiyo maana huna hoja wala huna marejeo.What are you talking about !!!......
Huyo si Mtawala ni Kiongozi , unamjua Mtawala wewe?
Hapa hakuna kurogwa wala nini,sema nyinyi ni wajinga mnaofata mihemko ndiyo maana harakati zenu zina faida chache sana maafa makubwa. Kisha hamna mizani ya kupima harakati zenu mnabaki kuwa hivyo hivyo kila siku.Unataka wakosolewe wapi?...
Nani katuroga aisee?
Unapaswa kwenda shule na kusoma History kujua kuwa Rais siyo Mtawala.Nimecheka sana. Kiongozi wa nchi yule mkuu ni mtawala. Usiwe mjinga kiasi hiki. Ndiyo maana huna hoja wala huna marejeo.
Kila mtawala ni kiongozi. Sababu kuna watu anawaongoza.
Siku nyingine jifunze maana ya maneno kisha uyatumie.
Nimecheka sana. Kiongozi wa nchi yule mkuu ni mtawala. Usiwe mjinga kiasi hiki. Ndiyo maana huna hoja wala huna marejeo.
Kila mtawala ni kiongozi. Sababu kuna watu anawaongoza.
Siku nyingine jifunze maana ya maneno kisha uyatumie.
Yaani Kiongozi anakanyaga KATIBA ,anafuatwa sirini halafu ataamua yeye kukubali au kukataa!!..SHAMEHapa hakuna kurogwa wala nini,sema nyinyi ni wajinga mnaofata mihemko ndiyo maana harakati zenu zina faida chache sana maafa makubwa. Kisha hamna mizani ya kupima harakati zenu mnabaki kuwa hivyo hivyo kila siku.
Swali la kwanza ni swali zuri na la msingi pia. Kiongozi anakosolewa sirini (faragha),aidha kwa kumfata au kumuandikia barua kisha wajibu wako unakuwa umeufanyia kazi,ibaki yeye kukubali au kukataa. Akili hizi hamna nyinyi.
Maccm bwana yameuwa watu mchana kweupe leo yanajifanya yamekasirishwa na kauli tu?? MaajabuTumemsikia sote wakati anatamka hiyo kauli, Mimi mwanayanga nikimwambia Mh. Job Ndugai "Jana tumekunyoa kwa wembe" itakuwa nimekosa staha?
Mama alisema "Ukinizingua , nakuzingua" .. Je ina tofauti na kauli ya Mdude kuwa "Akizingua na yeye atazinguliwa kama walivyomzingua mtangulizi"
Ni kweli hatujui wembe alioumaanisha Mdude kwenye hiyo Kauli, Kama anasema Wembe waliomnyolea JPM ndo watautumia. Je, ni kweli JPM alinyolewa Nywele kama mnavyotaka kumaanisha?. Kwa hiyo "Mtoto akililia wembe aachwe ajikate" nayo haijaelewekaga kwa jamii yetu pia?
Tuache kujipendekeza sana. Tatizo letu sisi ndo yale mambo ya utu wa kiafrika ambayo tunayalazimisha. Kijana amemwambia hivyo Rais wa nchi, siyo mama yake kama inavyotaka kuonyeshwa. Nyumbani Mkubwa akosei , lakini unapokuwa mtumishi wa Umma ni lazima ukosolewe, kutahadharishwa na kusifiwa pia ikibidi. Kama hujajiandaa kwa haya usiombe nafasi ktk ofisi.
Tujiulize Staha ni kumpa mashtaka ya uongo na kumtunza gerezani siku 414? Mdude leo anaonekana 'drug dealer' mtu ambaye havuti hata sigara, nani amemuomba radhi? Halafu mnataka kumpangia jinsi ya kutoa maoni yake na hata hisia zake mnataka kuziratibu... Nyie hisia zenu nani anaziratibu?
Ieleweke wazi ukiwa ofisi ya Umma, kubali kukosolewa, kusemwa, kuhadharishwa. Muradi Katiba na sheria za nchi zisivunjwe.
ANAYEONA MDUDE AMEKOSEA, ANAWEZA KWENDA MAHAKAMNI KUMSHITAKI AU KUPATA TAFSIRI YA KISHERIA
Ukisikiliza hii nyimbo , jiulize hiyo "Mbwai na iwe Mbwai" ni nini?. Ndo staha?. Lakini kiuhalisia ina maana nyingi na inaweza isiwe hiyo ya shari tunayohisi imemaanishwa na waimbaji.
hivi bado ccm ipo?CCM walisha kwisha.tena wamekufa na kuoza.hata akili ndio maana hazipo tena wamebaki na dola la polisi na usalama. Nje ya hapo hakuna CCM.
Mjinga ni yule aliyekuwa anaratibu mauaji nchi nzima.Unaungana na mjinga kutetea Ujinga wake?
Hata kurejea katika maana ya maneno nako hujui yaani unashindwa. Kila kitu kina mipaka,sasa unapo weka jambo ambalo liko wazi haya ni matumizi mabaya ya akili. Naweza nikakupa kazi unitanie mambo ambayo hayana mipaka bila shaka hutaweza yaani huwezi.Unapaswa kwenda shule na kusoma History kujua kuwa Rais siyo Mtawala.
Haujui kuwa President siyo mtawala kwa sababu ana "Limited Power" , "Mtawala ana absolute Power"..
Burundi's Ruler Visits Ugandan President - Burundi
News and Press Release in English on Burundi; published on 30 Jul 1996 by Reutersreliefweb.int
Hili liko wazi,na hata Mola ni mtawala wa walimwengu na ana mipaka yake.Kila mtawala ni Kiongozi lakini si kila kiongozi ni Mtawala. Hata Jiwe hakuufikia utawala japo alijaribu kidogo...