Mdude Nyagali, siasa zako sio nzuri. Jirekebishe

ccm ilishawahi kuwaomba hawa radhi? Au familia zao?
 
Reactions: BAK
Duh.. Hii ni post ya ngapi unamuazishia Mdude?
Moderator tafadhali ziungeni


liko wapi tamko la USA kuhusu tamko la Mdude Chadema?



Kauli ya mdude ingetolewa na mwana CCM ingashapelekwa UN au ICC
 
Mahakama ingekuwa inatenda haki tangu zamani Magufuli angefia jela.
Magufuli ni mchafu tangu akiwa Waziri .
Bahati nzuri nilianza kazi 2015 Juni wizara ya Magufuli, I know him , ni jizi
 
Siku aliyotoka Mudude gerezani Sadala alilala na viatu😅😅
 
Naombeni kauli ya mdude wekeni hapa...kakoseaje
Wembe niliomnyolea Mtangulizi wake ndio nitamnyolea huyo Mama Yenu. Kwakweli kwa michezo ya kisiasa hapa sioni kosa liko wapi. Maana kumzodoa magufuli tulimzodoa sana hadi akamua kutafuta watu kwa AK47.

Pengine ni wale walioumia kuona Mdude ameachiwa huru. Pia Hasira za kubwagwa chawa wao Diamondi huku wakidhani Chadema ndio tulimsemea kule Betawards zimechangia.

Lakini all in all wanavuna walichopanda.
 
Popomarism...
 
Reactions: BAK

Wembe ni ule ule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…