Mdude Nyagali, siasa zako sio nzuri. Jirekebishe

Mdude Nyagali, siasa zako sio nzuri. Jirekebishe

Hii ni reaction ya mbunge wa Sumve kuhusiana na kauli ya Mwanachadema aliyetoka lupango kwa huruma ya mama Samia .
Chadema na Mdude lazima waombe radhi ili kujisafisha.
Kauli hii ya Mdude imeharibu taswira ya nchi,Mahakama iliyompa ushindi,Hayati Magufuli,Rais Samia na Chadema.

View attachment 1841583
ccm ilishawahi kuwaomba hawa radhi? Au familia zao?
IMG_20210704_153830.jpg
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Kutokana na kauli aliyoitoa ndugu Nyagali ni wazi kuwa mahakama haikitenda haki kumuachia.Mdude alitiwa mbaroni baada ya series of events.Mdude Chadema hatàacha hulka yake na kuwekwa kwake ndani kupo justifiable.mahakama na hakimu alitemuachia achunguzwe.inawezekana anashawishiwa au kushinikizwa
Duh.. Hii ni post ya ngapi unamuazishia Mdude?
Moderator tafadhali ziungeni


liko wapi tamko la USA kuhusu tamko la Mdude Chadema?



Kauli ya mdude ingetolewa na mwana CCM ingashapelekwa UN au ICC
 
Mahakama ingekuwa inatenda haki tangu zamani Magufuli angefia jela.
Magufuli ni mchafu tangu akiwa Waziri .
Bahati nzuri nilianza kazi 2015 Juni wizara ya Magufuli, I know him , ni jizi
 
Nianze na mdude

Mdude mama kaja kuponya vidonda vya watanzania vilivyosababishwa na uongozi mbaya wa magufuli.Mama kwa hakika hapendi Shari na sisi tusimsharishe kwa hulka ya mama na wakati tuliopo mama hatakiwi azinguliwe twende nae taratibu atatuvusha. Mdude kumbuka magufuli asingefariki si ajabu ungeozea jela. Mdude labda kwakuwa ilikuwa jela hukumsikia mama Ila alisema hivi UKINIZINGUA TUNAZINGUANA. mdude jirudi.

Nimalizie na ccm.

Ccm mnaharibu keria ya wasanii mnawachonganisha wasanii na umma. Si ajabu diamond angemshinda burna boy Ila ccm mlichangia kushindwa kwake. Ccm msitumie hadaa kipindi Cha uchaguzi kuwalaghai wasanii wetu maskini na vijihela vyenu kampeni zikiisha nacc tunawapa cold shoulder. Haiwezekani kwenye kampeni wasanii mtutukane sisi upinzani halafu ikija kwenye mambo yenye manufaa kwenu Kama fan base spectators viwers supporters nk ndio mnatuona wanmaana . Kwangu Mimi kwasasa shujaa wangu ni jide commando na ney wanmitego. Dayamondi kafie mbele.
Siku aliyotoka Mudude gerezani Sadala alilala na viatu😅😅
 
Naombeni kauli ya mdude wekeni hapa...kakoseaje
Wembe niliomnyolea Mtangulizi wake ndio nitamnyolea huyo Mama Yenu. Kwakweli kwa michezo ya kisiasa hapa sioni kosa liko wapi. Maana kumzodoa magufuli tulimzodoa sana hadi akamua kutafuta watu kwa AK47.

Pengine ni wale walioumia kuona Mdude ameachiwa huru. Pia Hasira za kubwagwa chawa wao Diamondi huku wakidhani Chadema ndio tulimsemea kule Betawards zimechangia.

Lakini all in all wanavuna walichopanda.
 
Hii ni reaction ya mbunge wa Sumve kuhusiana na kauli ya Mwanachadema aliyetoka lupango kwa huruma ya mama Samia .
Chadema na Mdude lazima waombe radhi ili kujisafisha.
Kauli hii ya Mdude imeharibu taswira ya nchi,Mahakama iliyompa ushindi,Hayati Magufuli,Rais Samia na Chadema.

View attachment 1841583
Popomarism...
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Tumekuonea huruma sana uliyopitia na hata wengi nje ya nchi wanajua masahaibu yako ila una lugha zenye ukakasi sana sijui unataka kuwaiga kina Khery James au kina Kihongosi?

Ushasikia kina Mwaipaya au Pambalu wa BAVICHA wakitumia lugha yenye ukakasi kama yako? I think haiatakuchukua hata week utaanza kumtusi kama Rais Samia, jiheshimu bana.

Wengi tunataka Katiba mpya ndiyo lakini hii style yako inakera sana

View attachment 1837535
View attachment 1839252

Wembe ni ule ule
 
Back
Top Bottom