Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Ukimtukana Mungu atakuhukumu atakavyopenda.... possibly huko mbinguni.....Acha ujinga wewe. Usitishe watu. Hii ni nchi huru, let people be free to express their views.
Anatukanwa Mungu sembuse Samia. Akijichanga anatukanwa tu. Akitaka heshima aheshimu wengine. Ulitaka atangaze kuminya haki za watu halafu apigiwe makofi ya shukurani??
CCM wahed
Mnachosha na nyinyi nchi ya Democrats hii wenzenu wanapigwa na mayai mpo dunia gani nyinyi?Nimekusikiliza sana tangu ulipotoka jela baada ya kushinda kesi ya madawa ya kulevya. Huna kauli za heshima kwa Rais samia.
Sasa naomba Rais aweke huruma pembeni akicheza na mbwa ataingia nalo msikitini. Huyu mdude ameonesha ni mtu asiye na akili timamu. Naomba huko chadema mujaribu kumpa somo huyo.
Afrika ina demokrasia yake....haifanani na ya wazungu....Mnachosha na nyinyi nchi ya Democrats hii wenzenu wanapigwa na mayai mpo dunia gani nyinyi?
Unamponza mdude.Mdude anawalaza bila viatu
Ashikilie hapohapo asiachie!
Ile ni kauli bora kabisa ya mwaka!
Wakati Magufuli anatukana watu sikusikua kelele hizi!
Magufuli amewafanyia unyama watu wengi Sana ikiwemo kuwauwa kabisa. Lkn leo yuko wapi?Ukimtukana Mungu atakuhukumu atakavyopenda.... possibly huko mbinguni.
Ukimtukana binadamu mwenye mamlaka basi ujiandae kwa vita katika maisha hayahaya.
Kuna tofauti ya ku-express their views na kutukana. Msimjaze upepo halafu siro akimshughulikia muanze kutembeza bakuli na kulalamika.Acha ujinga wewe. Usitishe watu. Hii ni nchi huru, let people be free to express their views.
Anatukanwa Mungu sembuse Samia. Akijichanga anatukanwa tu. Akitaka heshima aheshimu wengine. Ulitaka atangaze kuminya haki za watu halafu apigiwe makofi ya shukurani??
CCM wahed!
Basi nenda kamtukane hata mkuu wa mkoa pale ofisini kwake.....Magufuli amewafanyia unyama watu wengi Sana ikiwemo kuwauwa kabisa. Lkn leo yuko wapi??
So hiyo isikutishe kutetea haki yako hata ikibidi kwa kumtukana mtawala. Akikuuwa potelea pweteee!
Taja tusi hata moja alilotoa Mdude toka kinywani mwake.Kuna tofauti ya ku-express their views na kutukana. Msimjaze upepo halafu siro akimshughulikia muanze kutembeza bakuli na kulalamika.
Ndo kisha sema sasa kwamba atamnyoa kwa wembe wake . Amefanywa nini? Ninyi chawa ndiyo mnapiga kelele aliyeambiwa kaufyata.Mtie tu ujinga huyo boya Mdude....
Ndio ulichokiona hicho kwa wazungu mengi yaliomazuri mazuri kwao hujayaonaAfrika ina demokrasia yake....haifanani na ya wazungu...
Nimeongelea jinsi hiyo demokrasia inavyotafsiriwa na kila nchi.....Ndio ulichokiona hicho kwa wazungu mengi yaliomazuri mazuri kwao hujayaona
Punguza ubwege!Nimekusikiliza sana tangu ulipotoka jela baada ya kushinda kesi ya madawa ya kulevya. Huna kauli za heshima kwa Rais samia.
Sasa naomba Rais aweke huruma pembeni akicheza na mbwa ataingia nalo msikitini. Huyu mdude ameonesha ni mtu asiye na akili timamu. Naomba huko chadema mujaribu kumpa somo huyo.
🤣🤣🤣Ndo kisha sema sasa kwamba atamnyoa kwa wembe wake . Amefanywa nini? Ninyi chawa ndiyo mnapiga kelele aliyeambiwa kaufyata.
Mzee, tutumie akili kidogo. Mtu mzima tena mwanamke tena Rais na amirijeshi kumwambia atamnyoa kwa wembe uleule aliomnyolea mtangulizi wake hayo ni matusi makubwa sana. Je atamnyoa nywele zipi hasa?Taja tusi hata moja alilotoa Mdude toka kinywani mwake.
Yaah! Kaambiwa atanyolewa kwa wembe, tena on camera. Kwani hujaona YouTube??Yaani unamuambia mkuu wa nchi utamnyoa kwa wembe ?!! Khaaa ha ha ha ha
Huyo Mdude ni bonge la sakala.Mzee, tutumie akili kidogo. Mtu mzima tena mwanamke tena Rais na amirijeshi kumwambia atamnyoa kwa wembe uleule aliomnyolea mtangulizi wake hayo ni matusi makubwa sana. Je atamnyoa nywele zipi hasa?
Mkuu itakuwa lugha ya kiswahili tu inakupiga chenga. Tangu lini neno KUNYOA likawa tusi??Mzee, tutumie akili kidogo. Mtu mzima tena mwanamke tena Rais na amirijeshi kumwambia atamnyoa kwa wembe uleule aliomnyolea mtangulizi wake hayo ni matusi makubwa sana. Je atamnyoa nywele zipi hasa?
Sawa,Yaah! Kaambiwa atanyolewa kwa wembe, tena on camera. Kwani hujaona YouTube??