Hizo ni ghadhabu za Umma unapoiba Uchaguzi unapobambika Kesi unapoua Wananchikile chama kina watu wa aina zote, kikubwa ujue kuitukana ccm na viongozi wake tu,hayo mengine mbele kwa mbele.
Tumekuonea huruma sana uliyopitia na hata wengi nje ya nchi wanajua masahaibu yako ila una lugha zenye ukakasi sana sijui unataka kuwaiga kina Khery James au kina Kihongosi?
Ushasikia kina Mwaipaya au Pambalu wa BAVICHA wakitumia lugha yenye ukakasi kama yako? I think haiatakuchukua hata week utaanza kumtusi kama Rais Samia, jiheshimu bana.
Wengi tunataka Katiba mpya ndiyo lakini hii style yako inakera sana na sidhani Mbowe ni mjinga mtu kama wewe ukaja kupata kupata cheo ndani ya CHADEMA usipoangalia kila siku wewe utakuwa mtu wa matatizo tu.
Kwani kunyoa ndio kuua? Kwanini udhani mdude ndio alimuua Magu?Kamnyoa Magufuli vipi, lini, wapi?
Magufuli kafanikiwa kisiasa -kwa maana ya kushika madaraka- mpaka alivyofariki akiwa rais.
Mdude kamnyoa vipi Magufuli?
Au Mdude ndiye aliyemuua Magufuli?
Labda alikuwa na jazba, ebu tujipe muda tuone kama ataendelea na aina hiyo ya matamshi yasiyo na nidhamu hata kwa CDM yenyewe.Mkuu tusiendekeze ujinga, cdm ni bora sana katika kulea vijana na kuwa bora kabisa.
Huyu apate malezi na awe na lugha ya ushawishi na sio ujinga ujinga huu
Kosa liko wapi hapo?Sasa hivi wakimkamata wamfunge maisha kijana Hana busara huyu hafu eti husoma na biblia kabisa. Mdude ajifunnze na aache ujinga Tena amshukuru mama ingekuwa jiwe angeozea jela
Kuna kitu anakitafuta, wanafanya "provocation politics" ili wakipata "retaliation" iwe "justification" ya kwamba tupo chini ya autocracy !Huyu akibabatizwa kesi ya kumuua Magufuli na kupanga kumuua Hassan atakataa?
Sasa kamyoaje?Kwani kunyoa ndio kuua? Kwanini udhani mdude ndio alimuua Magu?
Magu si alikufa mdude akiwa gerezani ?
Mimi nachomshauri jemadari Mdude ni kwamba sasa hivi tuna Kiongozi msikivu halafu ni Mama akielekeza Makombora mazito ya Nguoni tutamkimbia.Huyu apate malezi na awe na lugha ya ushawishi na sio ujinga ujinga huu
haki haipo hata mbinguni,wewe tukana ila hakikisha umeagana na nyonga.Hizo ni ghadhabu za Umma unapoiba Uchaguzi unapobambika Kesi unapoua Wananchi
Mungu ametuzawadia midomo fanya HAKI uone kama utaendelea kutukanwa.
Mdude atakuwa kalelewa na Lisu kisiasa!Labda alikuwa na jazba, ebu tujipe muda tuone kama ataendelea na aina hiyo ya matamshi yasiyo na nidhamu hata kwa CDM yenyewe.
Mh. Mbowe pamoja na madhaifu aliyonayo kama binadamu lakini speech zake uwa na hekima na busara sana.
Mkuu tunavyojua kuwa nchi inaendeshwa kisheria na katiba, swali je kuna sheria ipi amevunja jamaa na kama ipo upande wa serikali wanao mawakili wamfumgulie mashtaka na kama watamuona na kosa wamfunge kutokana na makosa, je kuna viongozi wangapi wa ccm wanaongea lungha za ukakasi na hata wahawaulizwi kitu, kama kasema magu kauwa kwani hajauwa kweli ?kama kasema ccm ni wizi kwani sio wizi kweli, tatizo kubwa watanzania hatupendi kitu ukweli na ndio maana tunaibiwa sana kwa sababu tumezoea kuishi kinafkiMkuu hata mimi ambaye sio ccm siungi mkono siasa za kitoto hizi, huyu ndg yetu afundwe awe na ushawishi na sio lugha tata
kusema alikuwa na madawa ni uongo,ila kukaa ndani ilikuwa ni haki yake.
Everyone is entitled to some minutes of stupidity, but mdude is abusing that previlegeTumekuonea huruma sana uliyopitia na hata wengi nje ya nchi wanajua masahaibu yako ila una lugha zenye ukakasi sana sijui unataka kuwaiga kina Khery James au kina Kihongosi?
Ushasikia kina Mwaipaya au Pambalu wa BAVICHA wakitumia lugha yenye ukakasi kama yako? I think haiatakuchukua hata week utaanza kumtusi kama Rais Samia, jiheshimu bana.
Wengi tunataka Katiba mpya ndiyo lakini hii style yako inakera sana na sidhani Mbowe ni mjinga mtu kama wewe ukaja kupata kupata cheo ndani ya CHADEMA usipoangalia kila siku wewe utakuwa mtu wa matatizo tu.
Uko sahihi, siasa ni mchezo wa akili, jenga hoja kwa hoja...maneno makali na hatua kali kama maandamano ni last option.Mimi nachomshauri jemadari Mdude ni kwamba sasa hivi tuna Kiongozi msikivu halafu ni Mama akielekeza Makombora mazito ya Nguoni tutamkimbia.
Kwa context ya siasa unashindwa kuelewa neno kunyoa linamaanisha nini?Sasa kamyoaje?
Is this the best the opposition can do?Kuna kitu anakitafuta, wanafanya "provocation politics" ili wakipata "retaliation" iwe "justification" ya kwamba tupo chini ya autocracy !
Hapo hamna kosa ila mdude huwa ana lugha isiyo ya kistaarabuKosa liko wapi hapo?