Mdude Nyagali, siasa zako sio nzuri. Jirekebishe

Ila wale waliojiunganishia bomba la mafuta wao sio haki yao kukaa ndani, maana ni wanaccm, lakini huyo mpepeta mdomo ndio ana madhara zaidi kwa nchi.
huwezi fanya ujinga sababu na fulani anafanya.
 
Labda alikuwa na jazba, ebu tujipe muda tuone kama ataendelea na aina hiyo ya matamshi yasiyo na nidhamu hata kwa CDM yenyewe.
Mh. Mbowe pamoja na madhaifu aliyonayo kama binadamu lakini speech zake uwa na hekima na busara sana.
Naam Mbowe ni mwalimu mzuri na makini katika siasa za upinzani na Tanzania.

Amelea na kuibua vipaji lukuki hadi CCM ikawanunua.

Mdude ajifunze
 
Nchi haiendeshwi kwa sheria na katiba tu.

Wapinzani wanatakiwa kuwa wakweli, wakidanganya, hata kama hawavunji sheria wala katiba, watavunja uaminifu.

Sasa Mdude kamnyoa nani, wapi, lini, kivipi?
 
Huyu anaharibu dhana nzima ya upinzani. Bora akae kimya tu aache wenye akili timamu waongee vitu vya maana.

Haya maneno tunaweza kuyavumilia kwenye mpira, maana kule ni kama hakuna mpaka, lakini kwenye siasa ajaribu lugha nyingine au akae kimya
 
Nadhani uko sahihi, washauri aache lugha Kali.
 
Nchi haiendeshwi kwa sheria na katiba tu.

Wqpinzani wanatakiwa kuwa wakweli, wakidanganya, hata kama hawavunji sheria wala katiba, watavunja uaminifu.

Sasa Mdude kamnyoa nani, wapi, lini, kivipi?
Mkuu kwani ww ni mgeni wa siasa, lugha inayotumika kwenye siasa huwa unaitafsiri vipi, kwani mliwahi kukemea pale viongozi wa mataga walivyokua wakitumia lugha kali kuliko hizo? Siasa inamambo mengi sana na kila mmoja anatafsiri kivyake
 
Nilijua ana akili hata kidogo kumbe ni mwehu kabisa hana lugha ya staha arudishwe jela tena akili imkae sawa anajiona mpambanaji sana
Hela hapana, waamkaoishe chini wamfundishe namna ya kuongea na hadhara
 
Huyu anaharibu dhana nzima ya upinzani. Bora akae kimya tu aache wenye akili timamu waongee vitu vya maana.
Haya maneno tunaweza kuyavumilia kwenye mpira, maana kule ni kama hakuna mpaka, lakini kwenye siasa ajaribu lugha nyingine au akae kimya
Hio inaonyeshea jinsi gani mataga mlivyokuwa waoga
 
Huyu anaharibu dhana nzima ya upinzani. Bora akae kimya tu aache wenye akili timamu waongee vitu vya maana.
Haya maneno tunaweza kuyavumilia kwenye mpira, maana kule ni kama hakuna mpaka, lakini kwenye siasa ajaribu lugha nyingine au akae kimya
Tena katolewa kwa huruma tu huyu angeozea jela
 
Mkuu, naona kuna heated exchange of nasty words.

Let's turn it down a bit. Let's exchange views respectfully for a minute if you dont mind.

Mimi sipo CCM wala CHADEMA. Nakwenda kuangalia ukweli tu.

Mdude kamnyoa nani, lini, wapi, kivipi?

Huku kunyoa anakoongelea maana yake nini?

Maana tunaweza kubishana na kutukanana sana wakati hatujui hata tunabishania nini.
 
haki haipo hata mbinguni,wewe tukana ila hakikisha umeagana na nyonga.
Swali langu je Jemadari Mdude alishawahi kufikishwa Mahakamani kwa kosa la kumtukana Mwananchi yeyote? au kutukana sio kosa la jinai? tokea lini hukumu ya kutukana inakawa ni kutekwa na kubambikiwa kesi? Naomba majibu tafadhali usitoke nje ya Mada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…