Samia anatakiwa kutuelewa, mkataba wa DPW haufai ni mbovu, kiburi chake cha kujinga kuwapa zawadi waovu wanaotetea ule mkataba hakiwezi kutukatisha tamaa, kinatushangaza tu tulivyo na kiongozi juha.
huu mkataba utakusaidi kupata mitumba yako haraka zaidi ya sasa
 
Mbona bara tu ndo kuna kelele hizi za mkataba mbona zenji bandari wamepewa wafaransa(AGL) na hakuna kelele hizi

Naimani kua wanopiga kelele wameguswa kimaslahi kutokana na uwekezaji huu
 
Bado siku 10 tumuone huyu hayawani akianzisha maandamano. Namkumbusha tu
 
MTAARIFUNI huyo Mwendawazimu wa VWAWA kuwa siku 30 alizotoa zinaisha Jumatano tarehe 5/ 10/ 23.
 
Slaa sio mchaga ni mmbulu, Mdude ni mtu wa Mbeya
 
Slaa Rais, Mdude Waziri Mkuu, Mwabukusi Makamu... Muungano tunauvunja
 
Kupata vichekesho vingine kama hivi bonyeza sifuri.
 
Samia anatakiwa kutuelewa, mkataba wa DPW haufai ni mbovu, kiburi chake cha kujinga kuwapa zawadi waovu wanaotetea ule mkataba hakiwezi kutukatisha tamaa, kinatushangaza tu tulivyo na kiongozi juha.
We wa hovyo sana, kwa nini una generalise, we unadhani kila mtu anashikiwa akili na watu wenye kichaa kama nyie machadema, akili zenu sawa na za ng'ombe tu.
 
Siku 30 zinaisha tarehe 5 Oktoba 2023 kuanzia tarehe 6 Oktoba 2023 na kuendelea tutarajie nini?


Je, serikali hii itavumilia watu kuingia barabarani kuilazimisha itamke hadharani na kwa utaratibu wa kisheria kwamba imefuta mktaba na DP World?


Tusubirie panapo majaliwa yana matokeo ya majuto na furaha
 
Haya mapimbi yako wapi sasa? Si yalisema yanaipa Serikali siku 30 la sivyo yanaitisha maandamano?

Kweli Dr Slaa na Maabukusi ndiyo wa kushikiwa akili na mwehu Mdude? Pumbavu sana
 
Huwa nawashangaa sawa kuna Watanzania wanashikiwa akili na mdude.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…