Uchaguzi 2020 Mechi kali nne za Uchaguzi Mkuu wa Wabunge ni majimbo ya Arusha Mjini, Kawe, Mbeya Mjini na Tarime Vijijini

Acha kujitekenya mkuu....

Tundu Lissu ndio rais hao umewataja ni mawaziri muhimu sn kwenye serikali yake......

Hayo maeneo uliyoyataka hakuna watz mapoyoyo huko wote wanaakili timamu
Ukiulizwa nini ambacho ulitaka kifanyike ndani ya hii miaka mitano na hakikufanyika, hautakuwa na jibu zuri zaidi ya kusema unataka demokrasia.
 
Kwani hata wangekuwa wanakaa Kawe unafikiri ni wengi basi?
 
Hata kama waumini wote wakimpigia kura haziwezi kutosha kumfanya awe mshindi ni wachache kulinganisha na wapiga kura wa kawe.

Kama alivyosema mjumbe hapo juu, watakaompa ushindi ni wapiga kura wa kawe.
 
Dafutari la wapiga kura litapelekwa kanisani kwa Gwajima kimya kimya na wataingizwa waumini wake. Halafu wakazi wa Kawe wataondoshwa.
 
Hakuna mtu mwenye akili anaenda kusali pale Kawe au Tegeta mahali ambapo mvua na jua ni vyenu huku yeye akiwapigia makelele na mizuka.
 
Hakuna mtu mwenye akili anaenda kusali pale Kawe au Tegeta mahali ambapo mvua na jua ni vyenu huku yeye akiwapigia makelele na mizuka.

Eti mizuka![emoji3][emoji3][emoji3]
 
Huyo Askofu tapeli mpigeni chini fasta.....

Kwanza yuko bize anaratibu kikundi chake cha kikabila yy na makonda.....

Nitawashangaa mkimchahua mcheza porn huyu.....

Piga chini hii ng'ombe mdini na mkabila huyo abaki na hicho kikundi cha kigaidi na waumini wake ambao wapo km mang'ombe
 
Pimbi
 
Hata kama waumini wote wakimpigia kura haziwezi kutosha kumfanya awe mshindi ni wachache kulinganisha na wapiga kura wa kawe.

Kama alivyosema mjumbe hapo juu, watakaompa ushindi ni wapiga kura wa kawe.
Kawe waislamu ni 85% ambao wote hawatampigia kura kwa sababu ya udini wake...
 
Hii mitandao wakati mwingine inapotosha, ukiingia jf utasema lissu ndo raisi, mdee kapita, lema kapita, sugu kapita. Lakini wapiga kura kina mama wanafanya shuhuli zao hawajui hata jf Ni Nini. Mambo kitaa Ni tofauti sana
 
KAWE hatutaki mbunge anayejifanya askofu amabae ni MZINZI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…