Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiulizwa nini ambacho ulitaka kifanyike ndani ya hii miaka mitano na hakikufanyika, hautakuwa na jibu zuri zaidi ya kusema unataka demokrasia.Acha kujitekenya mkuu....
Tundu Lissu ndio rais hao umewataja ni mawaziri muhimu sn kwenye serikali yake......
Hayo maeneo uliyoyataka hakuna watz mapoyoyo huko wote wanaakili timamu
Kwani hata wangekuwa wanakaa Kawe unafikiri ni wengi basi?Yawezekana nisieleweke vyema katika hili ila wale mnao mweleza Gwajima kuwa atachaguliwa na waumini wake kwa hivyo atashinda mnamdanganya.
HAKUNA muumini anae ishi maeneo Mikocheni Masaki Mikocheni anasali kanisa la la Gwajima, waumini wa makanisa haya ni wakazi wa Mbagala rangi TATU,Chalambe na Majimatitu na wote ni wakazi wa WILAYA moja anayoongoza Godwini Gondwe.
Kwa maana hiyo Gwajima angeshinda kama angepitishwa Temeke
Hakuna mtu mwenye akili anaenda kusali pale Kawe au Tegeta mahali ambapo mvua na jua ni vyenu huku yeye akiwapigia makelele na mizuka.Yawezekana nisieleweke vyema katika hili ila wale mnao mweleza Gwajima kuwa atachaguliwa na waumini wake kwa hivyo atashinda mnamdanganya.
HAKUNA muumini anae ishi maeneo Mikocheni Masaki Mikocheni anasali kanisa la la Gwajima, waumini wa makanisa haya ni wakazi wa Mbagala rangi TATU,Chalambe na Majimatitu na wote ni wakazi wa WILAYA moja anayoongoza Godwini Gondwe.
Kwa maana hiyo Gwajima angeshinda kama angepitishwa Temeke
Itakuwa uliwahi kutendwa naye"Ni heri nimuchague mtu anaekula kondoo wake kuliko kumuchagua mtu anaefanya mapenzi ya jinsia moja" Alisikika mpiga Kura mmoja kutoka Jimbo Fulani la Dsm.
Kusema kweli 'wateja' wake ni watu wenye wakati mgumu ktk maisha na wanaotaka short cut ya maisha na bado anawakamua hawa hawa bila huruma. na wengi wanatoka kweli ktk makazi duni.Uliwai kupitisha sensa we au mnaamua tu kuanzisha thread mpate wachangiaji
Hakuna mtu mwenye akili anaenda kusali pale Kawe au Tegeta mahali ambapo mvua na jua ni vyenu huku yeye akiwapigia makelele na mizuka.
PimbiSaikolojia ya wapiga kura imbedilika kwa 180° kutoka kusikiliza Maneno matupu kwenda kuona anayesema ametenda au amewahi kutenda nini.
Haya ni matokeo ya ukimya wa kisiasa miaka 5.
Sina wasiwasi wapinzani wao watashinda kwa matendo mema ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa JMT. Wao watashindwa kwa Maneno mengi mazuri ambayo sio hitaji LA watanzania kwa jinsi walivyotengenezwa miaka 5 iliyopita.
Upepo huu utapita had I kwa mgombea yoyote wa upinzani ktk kiti cha urais.
Wafuasi wekeni Akiba ya hisia ili msijezirai kwa mishtuko ya matokeo ambayo mngeelewa utabiri wangu angalau mngeishia kuumwa kichwa tu.
Kawe waislamu ni 85% ambao wote hawatampigia kura kwa sababu ya udini wake...Hata kama waumini wote wakimpigia kura haziwezi kutosha kumfanya awe mshindi ni wachache kulinganisha na wapiga kura wa kawe.
Kama alivyosema mjumbe hapo juu, watakaompa ushindi ni wapiga kura wa kawe.