Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Kama wanataka Damu zimwagike wafanye hizo figisu. Hivi unafikiri watu wa Tunduma na Mbeya wanaogopa kufa???? Polisi ndo wataweka silaha chini ila sio wale watu kukubali ujinga!!!Hapo kweli pagumu sana ila kwa watawala sina shida! hofu ni figisu watakazo fanyiwa hao wapinzani wa upinzani mbona wataelewa nn maana ya chama tawala
Figisu wafanye kote wakijidanganya jimbo la mbeya kwa sugu wataipeleka nchi pabaya hilo lijulikaneKama wanataka Damu zimwagike wafanye hizo figisu. Hivi unafikiri watu wa Tunduma na Mbeya wanaogopa kufa???? Polisi ndo wataweka silaha chini ila sio wale watu kukubali ujinga!!!
Weka na odds mkuu.1: Mwita Waitara Vs John Heche - Tarime Vijijini
2: Tulia Acskon Vs Sugu - Mbeya Mjini
3: Askofu Gwajima Vs Halima Mdee - Kawe
4: Mrisho Gambo Vs Godbless Lema - Arusha Mjini
Hizi ni mechi kali sana za kukata na shoka .
Nategemea wote wafanye kampeni za kistaarabu, wakinadi sera zao ili tuamue nani wawe wawakilishi.
Ni kweli unachosema na ni ngumu kuelewa ila chadema ambao wapo tangu 1995 na wana washabiki wengi arusha 5 kilimanjaro , mbeya etc hawana hata ofisini moja tu permanent ( I mean ya kwao) kila siku wanahama hama kama ndege ndo wanaweza kweli wapa wananchi maji Tanzania yote? Kumbuka ruzuku wanapata na ndo wanaonekana kuzipigia konyagi mpaka wanaanguka wenyewe na kusingizia wamepigwa. Aisee sisi si wa hivyoHakuna karata ya Jon,sasaivi ndio watz wataonyesha uhalisia.ilikua karata ya propaganda na kumpamba.UKITAKA KUONGEA UELEWEKE ZUNGUMZIA MAENDELEO YA WATU SIYO VITU,UTAELEWEKA.mwananchi Hana maji tangu uhuru leo unmletea stori za kununua ndege.
Gwajima yupi??? Huyu aliyehamasisha siasa za kikabila za kisukuma????!
Huyu aliyesema atageuza madrasa kuwa Sunday schools????
Huyu anayejirekodi akifanya mapenzi na waumini wake?????
Ni Heri nisipige kura kuliko kumpigia Gwajima.
Uhakika wasio rudi bungeni ni Lema na Sugu1: Mwita Waitara Vs John Heche - Tarime Vijijini
2: Tulia Acskon Vs Sugu - Mbeya Mjini
3: Askofu Gwajima Vs Halima Mdee - Kawe
4: Mrisho Gambo Vs Godbless Lema - Arusha Mjini
Hizi ni mechi kali sana za kukata na shoka .
Nategemea wote wafanye kampeni za kistaarabu, wakinadi sera zao ili tuamue nani wawe wawakilishi.
Embu jaribu kunipa ufafanuzi wa kuhamasisha siasa za kikabila????Hayo yote yamekuwa yakitolewa ufafanuzi wa kutosha na hata wakati wa kipindi cha Campaign ikionekana ni vyema yatatolewa ufafanuzi wala usijali utaelewa tu.
Ukweli ni kwamba Gwajima hazuiliki!
Embu jaribu kunipa ufafanuzi wa kuhamasisha siasa za kikabila????
Embu nipe ufafanuzi wa video yake ya aibu ya ngono!! Kumbuka kama unasema imetengenezwa tuma humu original yake
Bet lost1. Nabetia upande wa John Henche
2. Nabetia upande wa Sugu (Nguvu ya uma italazimisha matokeo halisi )
3. Nabetia upande wa Mdee ( Tofauti ndogo ya kura)
4. Nabetia upande wa Lema ( Ushindi kupewa baada ya vurugu kubwa na CCM kupata aibu ya Kimataifa)
Kwanza kuna mtu kaleta dispute hapa???? We clip zake hukuziona???? Au unajitoa tu ufahamu ndugu???A burden of proof is usually on a person who brings a claim in a dispute!
Bila shaka utakuwa umenisoma vyema @ Ndugu yangu Lord Denning!
Kwanza kuna mtu kaleta dispute hapa???? We clip zake hukuziona???? Au unajitoa tu ufahamu ndugu???
😂😂 Amani ni Tunda la HakiHapana siyo kujitoa ufahamu ndugu yangu!
Tumeambiwa campaign zifanyike kwa amani na utulivu ili kwa pamoja tuendelee kuitunza tunu ya amani ya Taifa letu.
Huu mchezo hauhitaji hasira @ Lord Denning!
[emoji4][emoji4][emoji4]
Sina uhakika kama Sugu na Halima watarudi
Acha kuwa mtumwa wa historia, naomba utunze huu ujumbe Mabula anavunja record .Hii Vita naisubiri Sana yaani.
Best friend wangu na Mwana familia mwenzetu wa IHUNGO BOYS HIGH SCHOOL 2O12 ambae alikua Diwani wa chadema kata ya butimba mwanza Alie maliza muda wake Ndugu JOHN JUSTIN PAMBALU VS STANSLAUS MABULA. Naiona njia nyeupe mapema nyamagana ikirudi upinzani.
Labda watu wapande juu mbinguni wakazibe.
Siasa za nyamagana hazirudishi MTU bungeni MIAKA 10
Kwa hiyo kumbe cdm mnajua fika hamuwezi kushinda Ubunge Kongwa na Kondoa sasa kama hivyo ndivyo kwanini mmesimamisha wagombea huku mkijua fika hamuwezi kushinda, hamuoni kwamba huo ni uharibifu raslimali.Unafikiri watu wa Kawe ni kama watu wa Kondoa au Kongwa Dodoma huko???? Utapata majibu October
Umenena vyema1. Nabetia upande wa John Henche
2. Nabetia upande wa Sugu (Nguvu ya uma italazimisha matokeo halisi )
3. Nabetia upande wa Mdee ( Tofauti ndogo ya kura)
4. Nabetia upande wa Lema ( Ushindi kupewa baada ya vurugu kubwa na CCM kupata aibu ya Kimataifa)
Sioni cha maana kujadili.sioni hoja.Ni kweli unachosema na ni ngumu kuelewa ila chadema ambao wapo tangu 1995 na wana washabiki wengi arusha 5 kilimanjaro , mbeya etc hawana hata ofisini moja tu permanent ( I mean ya kwao) kila siku wanahama hama kama ndege ndo wanaweza kweli wapa wananchi maji Tanzania yote? Kumbuka ruzuku wanapata na ndo wanaonekana kuzipigia konyagi mpaka wanaanguka wenyewe na kusingizia wamepigwa. Aisee sisi si wa hivyo
Sioni cha maana kujadili.sion
Kwa kweli huwezi kuona na baki hivyo hivyo mpaka utakapofumbuka macho kuona
MABULA sio mtu wa watu "A MAN OF THE PEOPLE"Acha kuwa mtumwa wa historia, naomba utunze huu ujumbe Mabula anavunja record .