Uchaguzi 2020 Mechi kali nne za Uchaguzi Mkuu wa Wabunge ni majimbo ya Arusha Mjini, Kawe, Mbeya Mjini na Tarime Vijijini

Uchaguzi 2020 Mechi kali nne za Uchaguzi Mkuu wa Wabunge ni majimbo ya Arusha Mjini, Kawe, Mbeya Mjini na Tarime Vijijini

Hapo kweli pagumu sana ila kwa watawala sina shida! hofu ni figisu watakazo fanyiwa hao wapinzani wa upinzani mbona wataelewa nn maana ya chama tawala
Kama wanataka Damu zimwagike wafanye hizo figisu. Hivi unafikiri watu wa Tunduma na Mbeya wanaogopa kufa???? Polisi ndo wataweka silaha chini ila sio wale watu kukubali ujinga!!!
 
1: Mwita Waitara Vs John Heche - Tarime Vijijini

2: Tulia Acskon Vs Sugu - Mbeya Mjini

3: Askofu Gwajima Vs Halima Mdee - Kawe

4: Mrisho Gambo Vs Godbless Lema - Arusha Mjini

Hizi ni mechi kali sana za kukata na shoka .

Nategemea wote wafanye kampeni za kistaarabu, wakinadi sera zao ili tuamue nani wawe wawakilishi.
Weka na odds mkuu.
 
Hakuna karata ya Jon,sasaivi ndio watz wataonyesha uhalisia.ilikua karata ya propaganda na kumpamba.UKITAKA KUONGEA UELEWEKE ZUNGUMZIA MAENDELEO YA WATU SIYO VITU,UTAELEWEKA.mwananchi Hana maji tangu uhuru leo unmletea stori za kununua ndege.
Ni kweli unachosema na ni ngumu kuelewa ila chadema ambao wapo tangu 1995 na wana washabiki wengi arusha 5 kilimanjaro , mbeya etc hawana hata ofisini moja tu permanent ( I mean ya kwao) kila siku wanahama hama kama ndege ndo wanaweza kweli wapa wananchi maji Tanzania yote? Kumbuka ruzuku wanapata na ndo wanaonekana kuzipigia konyagi mpaka wanaanguka wenyewe na kusingizia wamepigwa. Aisee sisi si wa hivyo
 
Gwajima yupi??? Huyu aliyehamasisha siasa za kikabila za kisukuma????!

Huyu aliyesema atageuza madrasa kuwa Sunday schools????

Huyu anayejirekodi akifanya mapenzi na waumini wake?????
Ni Heri nisipige kura kuliko kumpigia Gwajima.

Hayo yote yamekuwa yakitolewa ufafanuzi wa kutosha na hata wakati wa kipindi cha Campaign ikionekana ni vyema yatatolewa ufafanuzi wala usijali utaelewa tu.

Ukweli ni kwamba Gwajima hazuiliki!
 
1: Mwita Waitara Vs John Heche - Tarime Vijijini

2: Tulia Acskon Vs Sugu - Mbeya Mjini

3: Askofu Gwajima Vs Halima Mdee - Kawe

4: Mrisho Gambo Vs Godbless Lema - Arusha Mjini

Hizi ni mechi kali sana za kukata na shoka .

Nategemea wote wafanye kampeni za kistaarabu, wakinadi sera zao ili tuamue nani wawe wawakilishi.
Uhakika wasio rudi bungeni ni Lema na Sugu

Watu gani wa kuongea ongea tu yasiyo kua na maana

Sugu anaongeaga kama anaimba

Lema ukipita hapa Arusha mitaani watu wengi wanasema kapita Gambo afadhari
 
Hayo yote yamekuwa yakitolewa ufafanuzi wa kutosha na hata wakati wa kipindi cha Campaign ikionekana ni vyema yatatolewa ufafanuzi wala usijali utaelewa tu.

Ukweli ni kwamba Gwajima hazuiliki!
Embu jaribu kunipa ufafanuzi wa kuhamasisha siasa za kikabila????

Embu nipe ufafanuzi wa video yake ya aibu ya ngono!! Kumbuka kama unasema imetengenezwa tuma humu original yake
 
Utapigwa Mtanange wa Hali ya juu...naamini watu watajizuia kumwaga damu hasa kwa kufanya kampeni safi bila kutishiana..Tarime vijijini wale wote ni watu wanaojua Siasa.Watapambana sana sana.
 
Embu jaribu kunipa ufafanuzi wa kuhamasisha siasa za kikabila????

Embu nipe ufafanuzi wa video yake ya aibu ya ngono!! Kumbuka kama unasema imetengenezwa tuma humu original yake

A burden of proof is usually on a person who brings a claim in a dispute!

Bila shaka utakuwa umenisoma vyema @ Ndugu yangu Lord Denning!
 
1. Nabetia upande wa John Henche

2. Nabetia upande wa Sugu (Nguvu ya uma italazimisha matokeo halisi )

3. Nabetia upande wa Mdee ( Tofauti ndogo ya kura)

4. Nabetia upande wa Lema ( Ushindi kupewa baada ya vurugu kubwa na CCM kupata aibu ya Kimataifa)
Bet lost
 
A burden of proof is usually on a person who brings a claim in a dispute!

Bila shaka utakuwa umenisoma vyema @ Ndugu yangu Lord Denning!
Kwanza kuna mtu kaleta dispute hapa???? We clip zake hukuziona???? Au unajitoa tu ufahamu ndugu???
 
Kwanza kuna mtu kaleta dispute hapa???? We clip zake hukuziona???? Au unajitoa tu ufahamu ndugu???

Hapana siyo kujitoa ufahamu ndugu yangu!

Tumeambiwa campaign zifanyike kwa amani na utulivu ili kwa pamoja tuendelee kuitunza tunu ya amani ya Taifa letu.

Huu mchezo hauhitaji hasira @ Lord Denning!

[emoji4][emoji4][emoji4]
 
😂😂 Amani ni Tunda la Haki
 
Hii Vita naisubiri Sana yaani.

Best friend wangu na Mwana familia mwenzetu wa IHUNGO BOYS HIGH SCHOOL 2O12 ambae alikua Diwani wa chadema kata ya butimba mwanza Alie maliza muda wake Ndugu JOHN JUSTIN PAMBALU VS STANSLAUS MABULA. Naiona njia nyeupe mapema nyamagana ikirudi upinzani.

Labda watu wapande juu mbinguni wakazibe.

Siasa za nyamagana hazirudishi MTU bungeni MIAKA 10
Acha kuwa mtumwa wa historia, naomba utunze huu ujumbe Mabula anavunja record .
 
Unafikiri watu wa Kawe ni kama watu wa Kondoa au Kongwa Dodoma huko???? Utapata majibu October
Kwa hiyo kumbe cdm mnajua fika hamuwezi kushinda Ubunge Kongwa na Kondoa sasa kama hivyo ndivyo kwanini mmesimamisha wagombea huku mkijua fika hamuwezi kushinda, hamuoni kwamba huo ni uharibifu raslimali.
 
1. Nabetia upande wa John Henche

2. Nabetia upande wa Sugu (Nguvu ya uma italazimisha matokeo halisi )

3. Nabetia upande wa Mdee ( Tofauti ndogo ya kura)

4. Nabetia upande wa Lema ( Ushindi kupewa baada ya vurugu kubwa na CCM kupata aibu ya Kimataifa)
Umenena vyema
 
Ni kweli unachosema na ni ngumu kuelewa ila chadema ambao wapo tangu 1995 na wana washabiki wengi arusha 5 kilimanjaro , mbeya etc hawana hata ofisini moja tu permanent ( I mean ya kwao) kila siku wanahama hama kama ndege ndo wanaweza kweli wapa wananchi maji Tanzania yote? Kumbuka ruzuku wanapata na ndo wanaonekana kuzipigia konyagi mpaka wanaanguka wenyewe na kusingizia wamepigwa. Aisee sisi si wa hivyo
Sioni cha maana kujadili.sioni hoja.
 
Acha kuwa mtumwa wa historia, naomba utunze huu ujumbe Mabula anavunja record .
MABULA sio mtu wa watu "A MAN OF THE PEOPLE"
Sio MTU wa kujichanganya na watu wa makundi mbali mbali katika jamii....

Naishangaa nyamagana wamekosa mtu mpaka kumrudisha MABULA....

Hata uchangiaji wake bungeni hauonekani....

Hata Raisi wetu mpendwa Magufuli hazi ivi na MABULA

Raisi Aliwai kusema
Nyamagana hawakuchagua vizuri
Na ndio maana Ni ajabu KWENYE utawala wa Magufuli nyamagana inakosa waziri hata naibu waziri

All in all watu wa mahina, igoma, mabatini, butimba na vitongoji vyake....

Mara kadhaa wamesikika wakisema safari hii wanamtaka Dogo Janja "JOHN JUSTIN PAMBALU"

Kama sanduku la kula ndilo Lita achwa li AMUA Nani aende DODOMA kuwakilisha Nyamagana
Safari hii Ni zamu ya HUYU DOGO PAMBALU.
 
Back
Top Bottom