Acha kuwa mtumwa wa historia, naomba utunze huu ujumbe Mabula anavunja record .
MABULA sio mtu wa watu "A MAN OF THE PEOPLE"
Sio MTU wa kujichanganya na watu wa makundi mbali mbali katika jamii....
Naishangaa nyamagana wamekosa mtu mpaka kumrudisha MABULA....
Hata uchangiaji wake bungeni hauonekani....
Hata Raisi wetu mpendwa Magufuli hazi ivi na MABULA
Raisi Aliwai kusema
Nyamagana hawakuchagua vizuri
Na ndio maana Ni ajabu KWENYE utawala wa Magufuli nyamagana inakosa waziri hata naibu waziri
All in all watu wa mahina, igoma, mabatini, butimba na vitongoji vyake....
Mara kadhaa wamesikika wakisema safari hii wanamtaka Dogo Janja "JOHN JUSTIN PAMBALU"
Kama sanduku la kula ndilo Lita achwa li AMUA Nani aende DODOMA kuwakilisha Nyamagana
Safari hii Ni zamu ya HUYU DOGO PAMBALU.