Mechi ukitolea pesa lazima ushinde kwa magoli mengi mwisho ya siku mnaweza kuwa sawa na mpinzani wako kwa point!

kipara kipya

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2016
Posts
18,833
Reaction score
23,276
Haishangazi kufunga goli nyingi zote ni hesabu za mwisho wa mwaka hizo goli nyingi kwa kipindi ndio wakati wake ukipewa hela ya watu lazima ufungwe 6 mpaka 7 ili mwisho wa ligi watu wahesabu magoli!......biashara wazi wazi!
 
GjFPPmnW4AAbvIu.jpg
 
Wewe ni amnazo Tena nampongeza sana mangungu kwa kukataa kujiuzulu,,kama wafuasi wake akili zenu ndio hizi alikuwa sahihi kabisa,,umecheza na Ile prison kibonde kabisa lakini umeshindwa kuifunga nani alikuzuia? Umekutana na vibonde wangapi na umeshindwa kutumia nafasi? Wenzako wanatumia nafasi ndio maana wanatoa dozi kulingana na idadi alafu unaleta ngonjera zako hapa,,wivu utakuua!
 
Unapata magoli matatu kipindi cha kwanza ambapo kuna uwezekano wa kuongeza magoli mengine zaidi badala yake unaanza madoido ya kurudisha pasi kwa golikipa(Pinpin) na kupoozesha mchezo(Haka katabia katamkaanga mtu,it's just a matter of time). Yanga akimkuta mnyonge anamnyonga jumla jumla. Mwisho wa msimu kitaeleweka tu!
 
Haishangazi kufunga goli nyingi zote ni hesabu za mwisho wa mwaka hizo goli nyingi kwa kipindi ndio wakati wake ukipewa hela ya watu lazima ufungwe 6 mpaka 7 ili mwisho wa ligi watu wahesabu magoli!......biashara wazi wazi!
Mzee kipara Mupya acha chuki yako na mwananchi,sisi ni watu na tuna watu na sii mafisi yasiyo hata na mafisi
 
Wewe ni amnazo Tena nampongeza sana mangungu kwa kukataa kujiuzulu,,kama wafuasi wake akili zenu ndio hizi alikuwa sahihi kabisa,,umecheza na Ile prison kibonde kabisa lakini umeshindwa kuifunga nani alikuzuia? Umekutana na vibonde wangapi na umeshindwa kutumia nafasi? Wenzako wanatumia nafasi ndio maana wanatoa dozi kulingana na idadi alafu unaleta ngonjera zako hapa,,wivu utakuua!
saed alishasema ligi hii ya mipango ni dhaifu kwenu ila kazi ngumu manaipata kusipokuwepo mbeleko!
 
Kama ligi ni ya mipango basi na mipango iyo inaanzia kwenu si mlipigwa 5? Kwani goli Tano na kuendelea wamepigwa kmc peke yake? Mbeleko ipi hapo ebu tuambie,,
 
Back
Top Bottom