Mechi ukitolea pesa lazima ushinde kwa magoli mengi mwisho ya siku mnaweza kuwa sawa na mpinzani wako kwa point!

Kama ligi ni ya mipango basi na mipango iyo inaanzia kwenu si mlipigwa 5? Kwani goli Tano na kuendelea wamepigwa kmc peke yake? Mbeleko ipi hapo ebu tuambie,,
Ni kweli, Simba ilifungwa 5 kwa mipango. Uko sahihi
 
Wale bado hawafika dau,ila nyie si njaa zenu mnaongea na GSM anawapa mzipo.
Nafikiri goli la tano alilifunga golikipa juma kaseja ubao ukasomeka simba 5 yanga 0 ila kwa kuwa manara alishasema wenye akili ni wawili hilo linasadiki na akili zenu za supu mnazima data nenda kaulize wenye kuijua yanga watakuambia maumivu yao mpaka leo sio wewe kizazi cha supu ya hersi!
 
Mbona Rage aliongea nyie mambumbu,mnaongoza ligi ila hamjiamini waoga,ndio maana hamuishi kulalamika.Yaani mnaonekana hamuiamini timu yenu.

Wewe tushakununua mara nne na bado mara tano.
 
Kizazi cha supu kinasahau ni juzi wenzio wenye kujua mpira walikuwa wanasema TFF wanawahujumu!
 
Kwa hiyo na nyie mnasema mnanunuliwa? Ndio maana Rage hakukosea,yaani nyie pamoja na kikosi chenu cha bil 7 kwa mujibu wa mmiliki wenu ila bado mnanunuliwa.
 
Back
Top Bottom