Mechi ukitolea pesa lazima ushinde kwa magoli mengi mwisho ya siku mnaweza kuwa sawa na mpinzani wako kwa point!

Mechi ukitolea pesa lazima ushinde kwa magoli mengi mwisho ya siku mnaweza kuwa sawa na mpinzani wako kwa point!

Nyie baada ya penati zetu kuwanyima usingizi na mikelele wiki nzima mlikunywa sumu?? Mbona leo mmetoa meno yote nje na mipenati mliyopewa..
Alaa kumbe. Tukitoa magoli ya penalty ateba anabaki na goli mbili Simbwa inakuwa ya 14
 
Caf ipi? Ya Zanzibar au hii ambayo madunduka akiwa anashiriki Yanga ni bonanza ila wakishiriki wao inageuka kuwa Club bingwa?
Chagua wewe caf zipo ngapi na wewe unashiriki ipi na upo hatua gani mpaka muda unapo andika!
 
Kombe la caf!
Kama unahisi kombe ulilochoza fainali mwaka 1993 lina hadhi sawasawa na alilocheza Yanga fainali mwaka 2023 basi tuambie aliyechukua kombe hilo dhidi ya Simba, alicheza CAF super cup dhidi ya timu gani?
Huku tumeona USMA akicheza CAF super cup dhidi ya Al Ahly. Vipi hiyo ya kwenu ilikuwaje?
 
Muda huu unaoandika mashudu yako haya upo hatua gani?????
Ni hatua ile ile inayofanana na Simba kutoka kucheza robo fainali kisha msimu unaofuata katolewa na UD Songo au Galaxy. Maanake kuna moment za kukosea na kujifunza kwenye mpira.
 
Ni kweli kabisa na ndio maana Simba ilifungwa goli 5 ili kukamilisha biashara
Halafu wachezaji waliofungwa wakapewa zawadi ya usajili. Kuna tetesi wametapeliwa, wanadai mamilioni. Hii nchi kuna vilabu kama DECI tu.
 
Kama unahisi kombe ulilochoza fainali mwaka 1993 lina hadhi sawasawa na alilocheza Yanga fainali mwaka 2023 basi tuambie aliyechukua kombe hilo dhidi ya Simba, alicheza CAF super cup dhidi ya timu gani?
Huku tumeona USMA akicheza CAF super cup dhidi ya Al Ahly. Vipi hiyo ya kwenu ilikuwaje?
Ama kweli supu imewaathiri akili kama alivyosema manara alicheza na zamalek!
 
Ni hatua ile ile inayofanana na Simba kutoka kucheza robo fainali kisha msimu unaofuata katolewa na UD Songo au Galaxy. Maanake kuna moment za kukosea na kujifunza kwenye mpira.
Kila mwaka mnakosea nyinyi kweli supu imekuathiri yanga anapigwa sita wachezaji wa kuazima alphonse modest kocha tito mwaluvanda hatua ndio hiyo hiyo tena mnapigwa na al hilali dar mnatoa sare sudan bado tu unajifananisha na simba simba kimafanikio yupo mbali kataa supu ya hersi inaathiri ubongo na kupoteza kumbukumbu!
 
Wanachokifanya hakitawasaidia kimataifa kwasababu wanajitekeya na kucheka wenyewe.
 
Haishangazi kufunga goli nyingi zote ni hesabu za mwisho wa mwaka hizo goli nyingi kwa kipindi ndio wakati wake ukipewa hela ya watu lazima ufungwe 6 mpaka 7 ili mwisho wa ligi watu wahesabu magoli!......biashara wazi wazi!
Unaongea kama dume lisilolo na marinda!
 
Back
Top Bottom