GUSA ACHIA BAHASHA GOLI
JF-Expert Member
- Apr 19, 2023
- 5,110
- 7,349
Jibu swali mpaka.sasa timu yako ya MWIKO NYUMA FC inashiriki mashindano gani ya kimataifa usilete povuWe kashiriki mimi nilishiriki na nikaishia fainal sikuishia robo kama wewe ulivyo fanya South na mkachoma pitch ya watu kwa mambo yenu ya kimatunguli mkapigwa dola 10K na CAF na mkatolewa robo.