Mechi ukitolea pesa lazima ushinde kwa magoli mengi mwisho ya siku mnaweza kuwa sawa na mpinzani wako kwa point!

Kumbe kashangilia tu mi nilijua labda hilo goli limefungwa na refa. Mambo ya kufunga tugoli tuchache kwenye mechi ya kufunga magoli mengi itatugharimu tu. It's a matter of time!.Wenzetu Yanga wakimkuta mnyonge wanamnyonga kweli kweli. Sisi tuendelee kujenga timu wacha wao wachukue mara ya nne mfululizo ikibidi hata kwa Goal Difference!
Tufunge magoli ya kununua ? Halafu mashindano ya kimataifa tunaishia makundi uko sawa wewe 😂
1000240457.jpg
 
Chama
Manula
Baleke
Inonga
biashara ilishia hapa
Wakati mnakula mkono mkavu 2012 kelele zilikuwa nyingi kina nsajigwa wameuza mechi hawamtaki kocha au ulikuwa bado bwamdogo?
Camara lazima awe shujaa wetu hawezi fungwa magoli ya kijinga na kina sele bwenzi kati kati ya uwanja halafu tukae kimya
Huyo manula acha ale matunda ya usaliti wake mpaka mkataba wake na simba uishe tutamuachia azam walimtaka condition wanazijua manula mezani na wao wamuweke faisal mezani tuongee chap
Mwisho sisi sio wajinga haiwezekani msemaji wa timu yenu atoke hadharani aseme dube alikuwa anazimiwa taa akikaribia langoni mwa timu pinzani kufunga kwenye uwanja wa chamazi baada ya kula vipigo viwili mfululizo tukaona wehu na ile idadi aliosema zungu huko kwenu wenye akili ni wawili tu na wewe pia haumo mkifungwa mnakuja kwenye media simba wanacheza mechi zenu viande kweli nyieView attachment 3237235View attachment 3237236
Nyie wajinga sababu mmeaminishwa mkifungwa na Yanga wachezaji wenu wameuza mechi, mfano huyu mleta mada wenu na tuna wasubiri tuwanunue kwa mara tano.

Sasa mchezaji unategemea acheze bila kufanya mistake huo mpira wa wapi maana kama ndio hivyo hamna timu ambayo ingemfunga mwenzake? Mbona hamkumlaumu mechi ya Coastal walivyo chomoa mara mbili.
 
Vipi mbirikimo wenu kfungwa na sele bwenzi na jana kufungwa goli la kujirudia ambazo hupoteza clean sheet mbona mnalia sana mitandaoni tangu camara asemwe amefungwa magoli yale tena na nani ana clean sheet nyingi kati ya msemwaji camara ana asiesemwa na viongozi diarra 😂 ?
bado hujanijibu hoja ya ali kamwe mlipokuw chamazi dube akikosa magoli mnalalamika azimiwa taa na wenye uwanja? 😂
 
Ushawa kumsikia kiongozi wa Yanga anamsema Diara kwenye mitandao ya kijamii? Hapo ndipo ujue ni professionalism hamna kwani Diara kaisevu Yanga mara ngapi? Yanga kachuku ubingwa mara tatu kipa alikuwa nani? Yanga kafika fainal ya Confederation kipa alikuwa nani? Yanga kafika Robo ya Championship kipa alikuwa ni nani? Kama kiongozi akiwa anajua mpira na professional hawezi kumlaumu mchezaji kwenye mtandao sometimes anakua hana tofauti na wakina Mwijaku.

Unataka nikujibu hoja hoyo wakati hoja iliyo kuwepo ya kununua mechi ,wewe unaushahidi Yanga ananunua mechi? Mmefungwa mara nne kila mechi Yanga aliwanunua kwa kiasi gani?

Ukinijibu hayo nitakujibu ya Ali Kamwe.
 
Unaniuliza suala la diarra kusave mwiko nyuma kwani mimi shabiki wa mwiko nyuma?
Baada ya kushenyetwa mara 2 mfululizo na mkagundulika mnatumia visisimua misuli mkajifanya dube anazimiwa taa je jana kweupe kabisa yy na goli alizimiwa taa hapo kmc arena ?
hakuna kiongozi wa mwiko nyuma anaweza akamuongolea diarra vibaya maana mikataba yenu na wachezaji ni ya kukopa sasa h8vi baleke anasema hatoki hapo mwiko nyuma mpaka akilipwe stahiki zake zote kwanini nyie misimu 3 mfululizo mnadaiwa na wachezaje hadi mnafikia hatua ya kufungiwa usajili na FIFA nyie mna professonalism gani hapo mwiko nyuma miaka nenda rudi mnadaiwa na wachezaji na makocha?
1000214333.jpg
 
Unaniuliza suala la diarra kusave mwiko nyuma kwani mimi shabiki wa mwiko nyuma?
Baada ya kushenyetwa mara 2 mfululizo na mkagundulika mnatumia visisimua misuli mkajifanya dube anazimiwa taa je jana kweupe kabisa yy na goli alizimiwa taa hapo kmc arena ?
hakuna kiongozi wa mwiko nyuma anaweza akamuongolea diarra vibaya maana mikataba yenu na wachezaji ni ya kukopa sasa h8vi baleke anasema hatoki hapo mwiko nyuma mpaka akilipwe stahiki zake zote kwanini nyie misimu 3 mfululizo mnadaiwa na wachezaje hadi mnafikia hatua ya kufungiwa usajili na FIFA nyie mna professonalism gani hapo mwiko nyuma miaka nenda rudi mnadaiwa na wachezaji na makocha? View attachment 3237267
Kwani wewe ushachenyetwa mara ngapi na Yanga, yaani wewe kwangu kama muembe wa uwani naamua leo na chuma tano,kesho na chuma mbili,kesho kutwa moja na kupiga nitakavyo.

Kwa hiyo umetoka kwenye kununua mechi umekuja kwenye mikataba kwani wewe Ukoloni hamjawahi kupewa warning ya kufungiwa usajili na FIFA.
 
Warning tulipewa lini na dhidi ya kina nan maana nimesahau kabisa
Haya matawi yenu yanahakikisha mnapata point tatu tukiachana na makosa ya kibinadamu kutoka kwa marefarii
1000235891.jpg

1000235890.jpg
 
Kwani wewe ushachenyetwa mara ngapi na Yanga, yaani wewe kwangu kama muembe wa uwani naamua leo na chuma tano,kesho na chuma mbili,kesho kutwa moja na kupiga nitakavyo.

Kwa hiyo umetoka kwenye kununua mechi umekuja kwenye mikataba kwani wewe Ukoloni hamjawahi kupewa warning ya kufungiwa usajili na FIFA.
Nyei mwiko nyuma kwetu kama wauza nyau leo tunapiga bao 6 kesho 5 kesho kutwa 4
1000214333.jpg
 
Mimi nimekupiga mara nne yani kwangu kama mwembe wa uwani na chuma maembe nitakayo.Jiandaeni na mzigo mwengine wa lawama kwa wachezaji wenu.
Bila usaidizi wa kayoko na aragija huna pa kuhemea na mwiko wako nyuma sasa hivi mkisare tu mnalia simba inacheza mechi zenu ina maana mpanzu juzi dhidi ya jkt alicheza? 😂
Chomoa kwanza huo mwiko nyuma
 
Kwa hiyo sasa hivi hatujawanunua ila marefa ndio changamoto.We tulia ni kugonge kwa mara ya tano.
 
Bila usaidizi wa kayoko na aragija huna pa kuhemea na mwiko wako nyuma sasa hivi mkisare tu mnalia simba inacheza mechi zenu ina maana mpanzu juzi dhidi ya jkt alicheza? 😂
Chomoa kwanza huo mwiko nyuma
Kwa hiyo sasa hivi hatujawanunua ila marefa ndio changamoto.We tulie ni kugonge
Lazima ni sahau maan ni muda sana chama langu kudaiwa tofauti nyie MWIKO NYUMA FC
Lazima usahau kwa hizi akili zenu za kuamini kila mkipigwa mmenunuliwa na tutawanuna sana,kama malaya wa kitambaa cheupe.
 
Kwa hiyo sasa hivi hatujawanunua ila marefa ndio changamoto.We tulie ni kugonge

Lazima usahau kwa hizi akili zenu za kuamini kila mkipigwa mmenunuliwa na tutawanuna sana,kama malaya wa kitambaa cheupe.
Bado nakuliza tena huko nje unashiriki mashindano gani na umefikia hatua gani mpaka sasa maana naona unajiandikia majongoo tu hapa ili tuendeleze mjadala vizuri
 
Attachments

  • SWAHILI WAVE - Maneno haya sio mageni jijini ___Daressalaam _Zuchu __Tanzania _SUMU__Shu _ShuC...mp4
    750.4 KB
Ngoja kwanza naona unajiandikia tu huko nje unashiriki mashindano gani mpaka sasa?
We kashiriki mimi nilishiriki na nikaishia fainal sikuishia robo kama wewe ulivyo fanya South na mkachoma pitch ya watu kwa mambo yenu ya kimatunguli mkapigwa dola 10K na CAF na mkatolewa robo. Hauna cha kunitisha mpaka sasa.
 
Back
Top Bottom