GUSA ACHIA BAHASHA GOLI
JF-Expert Member
- Apr 19, 2023
- 5,110
- 7,349
Jibu swali mpaka.sasa timu yako ya MWIKO NYUMA FC inashiriki mashindano gani ya kimataifa usilete povuWe kashiriki mimi nilishiriki na nikaishia fainal sikuishia robo kama wewe ulivyo fanya South na mkachoma pitch ya watu kwa mambo yenu ya kimatunguli mkapigwa dola 10K na CAF na mkatolewa robo.
Haa hii michuano ya shirikisho leo hii imekuwa ya kimataifa wakati aliyekuwa Kiongozi wenu Kaduguda aliita michuano ya wanawake baada ya Yanga kufika fainal.Jibu swali mpaka.sasa timu yako ya MWIKO NYUMA FC inashiriki mashindano gani ya kimataifa usilete povu
Hebu twende taratibu hata kama unaumizwa na mwiko wenu huko nyumaHaa hii michuano ya shirikisho leo hii imekuwa ya kimataifa wakati aliyekuwa Kiongozi wenu Kaduguda aliita michuano ya wanawake baada ya Yanga kufika fainal.
Sawa tumetoka michuano na wanaume tumewaacha nyie muendelee na michuano ya wanawake.
Unapost michuano ya waume vip ulishiriki hiyo michuano.Hebu twende taratibu hata kama unaumizwa na mwiko wenu huko nyuma
Mpaka sasa mnashiriki mashindano gani ya kimataifa na mmefikia hatua gani nakupa msaada wa msimamo wa hatua ya makundi ili unijibu vizuri
View attachment 3237332
Na zile TANO mlipewa bei gani?Haishangazi kufunga goli nyingi zote ni hesabu za mwisho wa mwaka hizo goli nyingi kwa kipindi ndio wakati wake ukipewa hela ya watu lazima ufungwe 6 mpaka 7 ili mwisho wa ligi watu wahesabu magoli!......biashara wazi wazi!
Halafu kwenye huyo misimamo ya magroup,timu yako ipo wapi na kama haipo jiulize kwa nini?Hebu twende taratibu hata kama unaumizwa na mwiko wenu huko nyuma
Mpaka sasa mnashiriki mashindano gani ya kimataifa na mmefikia hatua gani nakupa msaada wa msimamo wa hatua ya makundi ili unijibu vizuri
View attachment 3237332
yanga kupigwa na simba sita tano nne tatu mbili moja ni mambo ya kawaida labda ukiwa umenunua smart phone juzi ndio unaweza kuandika kama ulivyoandika!Na zile TANO mlipewa bei gani?
Lipo wazi,mliwahonga baadhi ya wachezaji ndo maana Manula anaanzia benchi hadi sasa,Chama hakuaminika tena na Inonga akauzwaNi kweli kabisa na ndio maana Simba ilifungwa goli 5 ili kukamilisha biashara
Ndiyo maana tulipoyajua maduka tumeyaondoa mengine yanabakia benchi.Ni kweli kabisa na ndio maana Simba ilifungwa goli 5 ili kukamilisha biashara
Bado hujanijibu swali langu mpaka sasa timu yako ya mwiko nyuma inashiriki mashindano gani ya kimataifa na mko stage ganiHalafu kwenye huyo misimamo ya magroup,timu yako ipo wapi na kama haipo jiulize kwa nini?
Timu yako mpaka sasa inashiriki mashindano gani ya kimataifa?Unapost michuano ya waume vip ulishiriki hiyo michuano.
Kwahio 5imba mlivyo kojolewa bao 5 na Yanga mlipewa pesa muingiziwe bao nyingi hvyo...?💩💩
Timu yako mpaka sasa inashiriki mashindano gani ya kimataifa?
Niujibu swali kwa michuano ambayo haikuhusu.Bado hujanijibu swali langu mpaka sasa timu yako ya mwiko nyuma inashiriki mashindano gani ya kimataifa na mko stage gani
We unahangaika na kuteseka na huo mwiko wako nyuma jikaze
Niujibu swali kwa michuano ambayo haikuhusu.
Sasa wewe kwanini hujanijibu hili swali.
Halafu kwenye huyo misimamo ya magroup,timu yako ipo wapi na kama haipo jiulize kwa nini?
Sawa wewe Mkuu Ndugu yangu Kolo FC,Halafu kwenye huyo misimamo ya magroup,timu yako ipo wapi na kama haipo jiulize kwa nini?View attachment 3237463
Kumbe hujui kusoma ? Au ni mwiko unakutesa huko nyuma tumeprint kabisa msimamo angalia vizuri ukalilie mbali na huo mwiko huko nyuma
Unaonekana una maumivu makali sana ya kutolewa makundi na kuteswa na mwiko nyuma chomoa taratibu huo mwiko utaona tu kundi la simba liko wapiSawa wewe Mkuu Ndugu yangu Kolo FC,Halafu kwenye huyo misimamo ya magroup,timu yako ipo wapi na kama haipo jiulize kwa nini?
Sawa wewe Mkuu Ndugu yangu Kolo FC,Halafu kwenye huyo misimamo ya magroup,timu yako ipo wapi na kama haipo jiulize kwa nini?Unaonekana una maumivu makali sana ya kutolewa makundi na kuteswa na mwiko nyuma chomoa taratibu huo mwiko utaona tu kundi la simba liko wapi
Kwenye msimamo hapo timu zote zimeishia makundi ikiwemo yenu ya mzee chama ambae alisema anataka kuchukua kombe la CAFCL msimu huu akiwa mwiko nyumaSawa wewe Mkuu Ndugu yangu Kolo FC,Halafu kwenye huyo misimamo ya magroup,timu yako ipo wapi na kama haipo jiulize kwa nini?
Sawa wewe timu yako ipo kundi gani kati ya yale uliyo ya post na kama haipo kitu gani kilicho wafanya msiwepo.Kwenye msimamo hapo timu zote zimeishia makundi ikiwemo yenu ya mzee chama ambae alisema anataka kuchukua kombe la CAFCL msimu huu akiwa mwiko nyumaView attachment 3237473