Karia must go kasepa?Ona aibu basi... Lilikuwa swala muda tu hao tff na bodi ya ligi kuachia ngazi!!. Mnaleta ushabili kwenye mambo ya msingi!. Kila dai la yanga litatelelezwa pasina shaka!. Hii mechi ya trh 15 haijahairishwa coz nayo ilikuwa batili ndio maana yanga akaigomea.
😂😂 Iwe shinikizo limetoka kwa Gwajima au kisugu kilichokuwa kinadaiwa na yanga kimetimia... Huo ni ushindi tosha kuonesha kuwa ...mtu/watu binafs hawawezi kuhozi mamlka na kunyonga tasisi kubwa zilizowapa dhamana!. Karia mwezi wa 8-9 anamaliza muda wake.Karia must go kasepa?
By the way hilo ni shinikizo limetolewa na raisi.
Kwa raisi kila kitu kinawezekana.
Raisi naskia ni shabiki wa Gongowazi😂😂 Iwe shinikizo limetoka kwa Gwajima au kisugu kilichokuwa kinadaiwa na yanga kimetimia... Huo ni ushindi tosha kuonesha kuwa ...mtu/watu binafs hawawezi kuhozi mamlka na kunyonga tasisi kubwa zilizowapa dhamana!. Karia mwezi wa 8-9 anamaliza muda wake.
Poleni kwa maumivu... Haki imepatikana... Hakuna haki inapotea bali inacheleweshwa!!. Hizi zingine ni porojo zenu... Ni tahira tu ndio alikuwa anasapoti upuuzi wa trh 8. KAMA VIPI MSILETE TIMU 😂😂😃Raisi naskia ni shabiki wa Gongowazi
Inawezekana ndio aliyepiga simu
Kwa hiyo hatuna say. Mmeshinda
Wale mbumbumbu wa kukaza shingo tunapowaambia msuburi msiwe na haraka muwe mnaelewa. Mmeziona taarifa nyeti nilizowaambia msubiri zinakuja?Subiri taarifa nyeti bado zinakuja usiwe na haraka. Hili jambo linaondoka na watu.
Kazi yangu kuwambusha Mikia. Mkiambiwa mtulie msimalize maneno hamsikii.Mbona mna haraka. Subiri taarifa nyeti
Taarifa kwa umma upi: wa makolo au wa watanzania wote?View attachment 3367085
😂😂😂😂 Mnaleta matamko ya kitoto mbele ya wakubwa. Mtakuja kubakwa. Watajiuzulu. Takwa moja limefanikiwa mechi kupangiwa trh nyingine. Kma mnayo nguvu ngomeni na nyie.
Hivi kibali cha kufanya mazoezi si walishapewa eeh? 😅😅Tunatarajia kesho tuwaone kwa Mkapa mnachapa jalamba la dabi Jumapili
Mnasingizia tu mama wa watu. Mbona amefanya kile mlichotaka.Raisi naskia ni shabiki wa Gongowazi
Inawezekana ndio aliyepiga simu
Kwa hiyo hatuna say. Mmeshinda
Mvuto upi huo Mtani? 🤣🤣Hii mechi haina tena mvuto
Unasemaje?Shida si mchezo kusogezwa mbele. Yanga walikuwa wanataka bodi ya ligi ijiuzulu lakini inavyoonekana wametepeta na wala malalamiko yao yametupiliwa mbali.
Ameenda mmiliki wa 🐸🐸 mwenyewe, hersi kachochora.
Wote waliohusika na mipango ovu watafikiwa. Ni swala la muda tu hao walioandika kibali toka wizarani kushughulikiwa pia. Huyo katibu mkuu kaiingiza serikali kwenye shida na waraka wake wa amaniHivi kibali cha kufanya mazoezi si walishapewa eeh? 😅😅
Hee!Yanga kafanikiwaje wakati matakwa Yao hakuna lililotimizwa?
Unasema?Hivi bodi na viongozi wa TFF wamejiuzulu au yanga wamelipwa pesa zao.
Hizi zote ni mchezo wa kufifisha no reform no electionI
Ndiyo!Kwaio akina Mguto wamekuambia wanajiuzulu
Kwakweli ile ya Tarehe 08 ndiyo ilikuwa na mvuto.Hii mechi haina tena mvuto