Mikia mnayatoa wapi haya mnayoandika? Madeni yanahusianaje na mechi ya ligi kuu? Mechi iliyosogezwa ni ya NBC sio CRDB. Kweli nyinyi makoloNasubiri kuona Kama utopolo wataleta tena propaganda za madeni ๐น
KweliMambumbumbu mkuu hayanaga akili!
#HATUCHEZI N'GO imehamia kwa mtani!Dabi ya Kariakoo ya June 15 imesogezwa mbele Kwa mara nyingine tena
BODI ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imeusogeza mbele mchezo namba 184 wa Ligi Kuu ya NBC kati ya klabu ya Yanga na klabu ya Simba ambao ulipangwa kufanyika kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa Juni 15, 2025 kuanzia saa 11:00 jioni.
Mchezo huo sasa utafanyika Juni 25, 2025 kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa kuanzia saa 11:00 jioni.
Bodi inazitakia maandalizi mema klabu za Yanga na Simba kuelekea mchezo huo.
View attachment 3367072
Mbona Mangungo ni kama suti haimtoshi? Au s kaazima ya mjukuu wakeKwisha hili lilishajulikana muda tu ๐๐
Umeongea ujinga!Yani uto bana walitaka tu kuleta ubabe wa kijinga kuwaonesha simba kwamba nao wanaweza kufanya walichofanya wao na wasifanywe kitu, walichotaka uto siyo matakwa yao kutimizwa bali mzani ubalance tu kwamba wote tumegomea mechi na wote tumesikilizwa na hii ndio inferiority complex waliyonayo, maana mambo yote waliyokuwa wanayakemea kwa kufanywa na simba nao wamefanya vile vile halafu ghafla yanashangilia tukisema hayana akili yanatutukana
Subiri taarifa nyeti bado zinakuja usiwe na haraka. Hili jambo linaondoka na watu.Yani uto bana walitaka tu kuleta ubabe wa kijinga kuwaonesha simba kwamba nao wanaweza kufanya walichofanya wao na wasifanywe kitu, walichotaka uto siyo matakwa yao kutimizwa bali mzani ubalance tu kwamba wote tumegomea mechi na wote tumesikilizwa na hii ndio inferiority complex waliyonayo, maana mambo yote waliyokuwa wanayakemea kwa kufanywa na simba nao wamefanya vile vile halafu ghafla yanashangilia tukisema hayana akili yanatutukana
Gomeni nione nyie ni wanaumeHahaha simba hatuchez
Sio nyie mlioapa hamtocheza si tu na Simba bali mechi zote zilizobaki mpaka Katibu wa TFF, Mwenyekiti wa bodi ya ligi wajiuzuru? Na nasubiri nione kama fainali na Singida hamtocheza
Kafanikiwa kivipi?.....Mechi namba 184 ipo pale pale ni tarehe tu ndio zimedailika ...15...25....yale matakwa yao yote hayaja tekelezwa.....Jana Simba walitoa Barua yao, tuone sasa kama wana Akili ngumu na Rais ameweka watu mfukoni leo!
Ila Yanga naona kafanikiwa kuhairishwa kwa mechi, basi Simba ni mikwara tu!
Maamuzi ya Ikulu....na picha wamepiga ๐ ๐Tukutane tarehe 25 mkuu
Halafu endelea kusubiri taarifa zaidi ndio utajua kama tumefeli au la. Usimalize maneno yote
Nyie makolo ndiyo mmesababisha ikose mvuto.Hii mechi haina tena mvuto
Je, bodi ya ligi imejiuzulu?
Tunashida na zile t-shirt zenu mlizoandika Hatuchezi.Scars
unaitwa huku mbona jana ulikuwa unarindima na hukuacha hata akiba ya maneno baada jana Ahmed Ali kupiga mikwara yote
Nikikuambia wewe bado mtoto unakasirika
Nasi tulitaka wajue ukubwa wetu ila juni 25 tutapambana na makolo.Jana Simba walitoa Barua yao, tuone sasa kama wana Akili ngumu na Rais ameweka watu mfukoni leo!
Ila Yanga naona kafanikiwa kuhairishwa kwa mechi, basi Simba ni mikwara tu!