Wanufaika huwa na tabia ya kulindana utashangaa uchaguzi anapita kiulaini, hawa kuwatoa lazima utumie nyundo na tindo kama wanaweza kutafuna hadi hela za mdhamini huku mshindi hapewi hata zawadi yake hao siyo watu wa kawaida , huwezi kuwatoa kirahisi wanakuwa na genge lao la kula helaHili suala lazima litamchomoa tu karia kwenye uchaguzi wa August
Huyo shabiki atakuwa hana akili timamu.Kama hii mechi kuna shabiki ataenda uwanjani
Ntamtoa maana sana
Yanga viongozi wetu wakipeleka timu bila bodi kuomba msamaha au watu kujiudhuru inabidi tuwawajibishe.😹mke wetu alisema kama sio tar 15 hachezi ngoja tuone sisi kama yanga tar 25 tunacheza , #NO REFORMS NO ELECTION ,fisiemu wanazani wata tutoa mchezoni tunaenda na zote mam*ee
Tunatarajia kesho tuwaone kwa Mkapa mnachapa jalamba la dabi JumapiliTunashida na zile t-shirt zenu mlizoandika Hatuchezi.
Zinaweza kuwa na matumizi pande zote mbili.
Mgomee wewe na nani?Yanga viongozi wetu wakipeleka timu bila bodi kuomba msamaha au watu kujiudhuru inabidi tuwawajibishe.
GSM aondoke na mchakato wake wa kununua hisa Yanga hatutaki.
Bidhaa zake tugomee.
Atuachie timu yetu tutachangisha bakuli Kama zamani hadi aje mwekezaji toka nje mwenye msimamo.
Na wote wenye akili timamu wapenda soka na siyo wapenda timu pekee.Mgomee wewe na nani?
Mbona mna haraka. Subiri taarifa nyetiNa wote wenye akili timamu wapenda soka na siyo wapenda timu pekee.
Sisi tunaziheshimu mamlaka za soka ile press release ilikuwa ni mkwara tu.Tunatarajia kesho tuwaone kwa Mkapa mnachapa jalamba la dabi Jumapili
Unakomaza kichwa kwa ujinga wenu au kutokujua?, Bodi ya ligi mpka leo wamesema ratiba ya mechi iko palepale na simba kwa maelekezo ya bodi wakaomba kibali cha kufanya mazoezi ya mwisho 😂😂wakakubaliwa... Sasa kesho wanaenda kufanya mazoezi.....Kwa hiyo taarifa imetolewa na ikulu au bodi ya ligi?
Niliandika humu kwamba hii derby sisiem wanatamani iwe inachezwa cku ya kesi ya Lisu ilikuhamisha mjadalaDabi ya Kariakoo ya June 15 imesogezwa mbele Kwa mara nyingine tena
BODI ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imeusogeza mbele mchezo namba 184 wa Ligi Kuu ya NBC kati ya klabu ya Yanga na klabu ya Simba ambao ulipangwa kufanyika kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa Juni 15, 2025 kuanzia saa 11:00 jioni.
Mchezo huo sasa utafanyika Juni 25, 2025 kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa kuanzia saa 11:00 jioni.
Bodi inazitakia maandalizi mema klabu za Yanga na Simba kuelekea mchezo huo.
View attachment 3367072
TunachezaHahaha simba hatuchez
Sisi tunaziheshimu mamlaka za soka ile press release ilikuwa ni mkwara tu.
Nadhani walifanya vile kujaribu kuondoa shinikizo la yule kiongozi aliyesemekana alipiga simu asijaribu tena kufanya hivyo.
Jambo likishafika kwa Raisi hakunaga kiongozi yeyote ambaye anaweza kukaidi hususan pale tunapoona viongozi wa hizi Clubs pia ni wanasiasa na wengine wanataka kwenda kugombea majimbo.
Na ndio maana hata nyie wazee wa sheria round hii mmekubali kucheza ila hamjatuambia ni sheria ipi iliyotumika kuahirisha mechi.
Hii mechi imeahirishwa kwa busara. Na nyie ndio watu mliokuwa kipaumbele kusisitiza sheria itumike na sio busara.
Hakuna jipya haya yote nikwaajili ya kesi ya LisuKidogo kidogo sasaa dawa itawaaingia na nyie makolo muanze kuelewa.
Kuna timu ilikuwa inaigiza inaitaka mechi sasa baada ya Yanga kukubali kucheza naona hofu imetanda🤣🤣Dabi ya Kariakoo ya June 15 imesogezwa mbele Kwa mara nyingine tena
BODI ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imeusogeza mbele mchezo namba 184 wa Ligi Kuu ya NBC kati ya klabu ya Yanga na klabu ya Simba ambao ulipangwa kufanyika kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa Juni 15, 2025 kuanzia saa 11:00 jioni.
Mchezo huo sasa utafanyika Juni 25, 2025 kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa kuanzia saa 11:00 jioni.
Bodi inazitakia maandalizi mema klabu za Yanga na Simba kuelekea mchezo huo.
View attachment 3367072
Wazee wa sheria na kanuni nataka leo sasa tujadili vizuri sheria.View attachment 3367204
Huu nao ni ujinga wa kiwango cha lami!!. Hamna sababu zozote za kugomea mechi na kilichotokea trh 8 kiliwanufaisha nyie... Hizo press zilikuwa ni ujinga na utotowa wajinga na viongozi wenu!. Kwa mtu mwenye akili timamu ulishaona wapi timu mgeni anaomba wizarani uwanja wa mechi?.
VIP kwani bodi ya tff imeshajiuzuliNyooo kiko wapiiiiii😂😂😂😂😂😂haya 5imba mkimbie tena
VIP kwani bodi ya tff imeshajiuzuli