Mechi ya Yanga dhidi ya Simba, June 25 kuchezeshwa na Waamuzi kutoka Misri

Ni Derby hii tu itachezeshwa na marefa kutoka nje ama hata zijazo? Na hizo zijazo hawa marefa wa ndani wakiwagomea mtawalaumu? Kwasababu mmesha set precedence.
 
Hizi busara ndiyo zinaharibu mpira wetu wakati tayari tunamuungozo hadi mwisho wa msimu (Kanuni). Kwenye Kanuni za bodi ya Ligi hairuhusu jambo hili,sasa ikitokea timu moja ikafungwa inaweza kutumia kama kisingizio kama hawakukubaliana wote kwa pamoja sawa,japo hii itapunguza kelele
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Utopolo lazima mlielie mlizoea kuhonga
 
Inaonekana yale madai ya rushwa, Kayoko, mawaziri sita yamechukuliwa kwa uzito unaostahili.
 
Nasikitika kusema madunduka mtafungwa hii mechi, sasa hivi Mfalme wa soka Tz anapiga πŸ– likiwakuta itakuwa πŸ– + πŸ–
 
Mdogomdogo mifumo inaanza kusomana!
Sasa kama timu haziwaamini marefa wa hapa na kuweka mambo sawa wanaletwa marefa wa nje. iweje basi hivyo hivyo na hao wanaokomaa na NO REFORM NO ERECTION ni kwa nini wasisikilizwe ili kila mtu aridhike!
Maisha ndio haya haya na nchi ni ya wote, au vipi wakubwa!
 
Bado watakosolewa kuwa wanatoka Misri,
ingefaa watoke nchi tofauti ikiwa Mmoja anaongea Kiarabu, Kireno, Kizulu na Kifaransa yaaani iwe ngumu kuwasiliana na kupewa bahasha na wenyeji...
Wamisri wote walikataliwa KATIKA dabi yao,hii mechi tuendapo itakuja poteza mvuto..
 
Ni Derby hii tu itachezeshwa na marefa kutoka nje ama hata zijazo? Na hizo zijazo hawa marefa wa ndani wakiwagomea mtawalaumu? Kwasababu mmesha set precedence.
Hawawezi goma , watafungiwa πŸ˜ƒ sasa unadhani watakula wapi ?????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…