Media na wasanii Bongo ni wanafiki sana, walikufa watu wengi Oktoba 29, 2025 hamkupost, akifa mtu mmoja post kila kona

Mawele

Platinum Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,161
Reaction score
4,251
Media na wasanii Bongo ni wanafki sana, walikufa watu wengi Oktoba 29, 2025 hamkupost, kafa mtu mmoja post kila kona halafu mnajiita nyie ni vioo vya jamii.

Nyie ni vioo vya jamii gani? Mbona hiyo jamii haiwatambui kama vioo, kwanza vioo mmetoa wapi, unafki tu

Your browser is not able to display this video.
 
Kuna mtu kafa huko? Hiyo clip nimeipenda, caricature hiyo anauliza hao wasanii ni kioo cha jamii gani, Je ni Jamii Forums? Kioo cha jamii kilichopasuka?
Hao kenge hata kuwaita kuwa ni kioo cha jamii ya vinyeo vyao bado ni kuwapa umuhimu usiowastahili. Hao ni part and parcel ya madhalimu wanaotesa na kuua Watanganyika, kile kitendo cha wao kuwa chawa wa wauaji hiyo inawafanya kuwa sehemu ya udhalimu.
 
Wasanii nyuma ya maisha kuna mengi ukiwa mchafu na Serikali inajua uchafu wako lazima Uogope
 
Umoja ni nguvu, ila watu kama wewe ndo mnafanya tuwe dhaifu sisi tulioungana. Na mnasapoti nchi wananchi kukandamizwa.
 
Umoja ni nguvu, ila watu kama wewe ndo mnafanya tuwe dhaifu sisi tulioungana. Na mnasapoti nchi wananchi kukandamizwa.
We unatumia uhusika fake kulaumu hautaki ujulikane maana yake unajua ukikamatwa utakuwa ndo mwisho wako.

Jinsi unavyoogopa ndo the same wanaogopa wenzako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…