Meja Jenerali Charles Mbuge astaafu utumishi wake jeshini

Yani ndiyo umepata vocha baada ya wiki au vipi?

Sikukujibu au sikukujibu ulivyotaka wewe?

Kwa nini swali kiwe Marekani ikiwa Marekani na Tanzania hazipo sawa?

Unalinganisha vipi vitu ambavyo havilinganishiki?
Nna majukumu mengine zaidi ya kushinda kwenye mitandao
 
Jamaa alikuwa smart sana niliwahi kukutana naye akiwa mkuu wa mkoa wa kagera.Namtakia kila la heri na tunamkaribisha uraiani
 
Kwahiyo unapendekeza tube nq vita kilq baada ya miaka mingapi mkuu??
 
Yani ndiyo umepata vocha baada ya wiki au vipi?

Sikukujibu au sikukujibu ulivyotaka wewe?

Kwa nini swali kiwe Marekani ikiwa Marekani na Tanzania hazipo sawa?

Unalinganisha vipi vitu ambavyo havilinganishiki?
Tutafutie vita ya kirafiki
 
Gang rape, kupiga raia na kugombania mademu bar.
 
Hongera saana Meja Gen Mbuge,

Huyu ametokeaa kwenye familia ya jeshi, Baba yake Alikuwa mwanajesh R.i.p

Anaenda kupumzika kwenye mashamba yake makubwa saana pale kola kisarawe.

Bigup Kwa shamba darasa unalotupa pale kola
 
Jeshi halipo kwa ajili ya kupigana tu!

Kuna mission nyingi za kijasusi zinafanywa na jeshi letu kwa ajili ya Amani ya TZ.
 
Kazi kubwa ya jeshi ni kuzuia vita kutokea (deterrence). Kitendo cha mwanajeshi kutumia miaka 35 jeshini na kustaafu bila kwenda vitani maana yake jeshi lake na serikali yake vimefanya kazi kuu ya kijeshi.

Kitendo cha kuingia vitani hiyo ni failure ya kwanza.
 
Jeshi halipo kwa ajili ya kupigana tu!

Kuna mission nyingi za kijasusi zinafanywa na jeshi letu kwa ajili ya Amani ya TZ.
Actually wanajeshi wengi wamekasirika sana nchi inaendeshwa kisiasa zaidi na hizo kazi za kijasusi hazithaminiwi.

Mpaka Mkuu wa Majeshi analalamika wazi kinyume na itifaki kuwa kuna wageni wengi wanafanya kazi nyeti za serikalini. This is unprecedented.

Sasa wanajeshi wanafanya ujasusi gani hapo?
 
Sasa hapo Tanzania mtu akitaka kukutwanga mvua ya mabomu hao wanajeshi wasio hata na air force ya kueleweka wanazuiaje?

Usichanganye Africa kutokuwa na vita kwa sababu kila mtu anapambana na umasikini wake na ufanisi wa wanajeshi wetu.

Vita ni biashara yenye gharama kubwa ambayo nchi nyingi masikini za Africa haziwezi ku afford.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…