Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 35,566
- 104,386
Meli inayoenda kwa jina la "Morning Midas" ikiwa imebeba bidhaa za mafuta pamoja na magari zaidi ya 3,000 kutoka China imezama baada ya kushika moto.
Baada ya kushika moto, crew members 22 waliomo walishindwa kuzima wakaona isiwe tabu waka abandon.
Hadi sasa chanzo cha moto hakijabainishwa ila tetesi zinasema ni mlipuko wa battery za Li-ion za magari ya umeme yaliokua yamebebwa.
Hapa nahisi makampuni ya insurance yatatamani yafungwe.
Source: https://www.cnn.com/2025/06/24/us/morning-midas-ship-sinks-northern-pacific