Meli kutoka China iliyokua na magari zaidi ya 3,000 kuelekea Mexico imezama!

Meli kutoka China iliyokua na magari zaidi ya 3,000 kuelekea Mexico imezama!

Sio rahisi kihivyo
Barabara ya mbagala imeisha? Na miradi kibao wanazingua tu.
Hapo ubungo mpk leo ni kulishwa matango pori tu.
Itakua kuzamisha meli.
Hao walipeperusha nyoka wakasema muujiza wa mungu eiki moja baadae wakasema Mungu kakasirika Covid 19 ikahusika.
Tumeuziwa barakoa dunia nzima
 
Si meli IPO kwenye motion, automatically magari hayo pia yalikuwa kwenye motion. Rudi kasome Newton law's of motion.
everything will continue to its uniform acceleration until an external force acted on it.
 
Bima ni wizi tu tuone kma iyo bima itacover izo hasara apo
 
Si meli IPO kwenye motion, automatically magari hayo pia yalikuwa kwenye motion. Rudi kasome Newton law's of motion.
😂😂😂😂😂😂 Alafu nyie ndo mnafanya walimu wa physics tunatukanwa humu
 
Mchana wa Leo nimeona contena majini lenye raba Kali Jordan limetupwa sasa selewi ndo mawimbi makali au liliachia

Niulize meli unaona ikiwa na mpangilio wa ma kontena yale huwa Yana lock au Yana ekwa tuu ndo imeisha 🤔
Alafu kwa akili hizi kuna watu wanasema ww baba angu
 
Sipati picha makampuni ya Bima yanavyosikitika...

Na ndiyo pale Msomali anapoenda kuyapigia mbizi na kuyarudisha kwenye black market...

Cc: Mahondaw
 
Back
Top Bottom