Meli kutoka China iliyokua na magari zaidi ya 3,000 kuelekea Mexico imezama!

Meli kutoka China iliyokua na magari zaidi ya 3,000 kuelekea Mexico imezama!

Mizigo inatakiwa ikatiwe Freight insurance, mwenye mzigo kama hakukata freight insurance imekula kwake.

Meli tayari ina Hull and machinery insurance ikipata tatizo analipwa. Liability insurance hapa meli zinakuwa zimejiunga kwenye club za bima za Protection and Indemnity(P&I) Club hasara yoyote itakayo sababishwa na mzigo nje ya meli yenyewe
 
Wale wanaokwema kipengele cha Cost Insurance and Freight wanaona kulipa bima gari ikiwa melini ni hasara. Wana chagua Fob, Free on board gari ikifika ndio alipe Freight cost anakuwa kakwepa insurance hapo ajali kama hiyo hana kuwa hana wa kumdai mzigo wake ulikwa hauna liability ya part yoyote
 
Meli inayoenda kwa jina la "Morning Midas" ikiwa imebeba bidhaa za mafuta pamoja na magari zaidi ya 3,000 kutoka China imezama baada ya kushika moto.
View attachment 3386807
Baada ya kushika moto, crew members 22 waliomo walishindwa kuzima wakaona isiwe tabu waka abandon.

Hadi sasa chanzo cha moto hakijabainishwa ila tetesi zinasema ni mlipuko wa battery za Li-ion za magari ya umeme yaliokua yamebebwa.

Hapa nahisi makampuni ya insurance yatatamani yafungwe.

Source: https://www.cnn.com/2025/06/24/us/morning-midas-ship-sinks-northern-pacific

Hao wachina wamesalimika?
 
Hawakuwa na vifaa vya kuzuia moto, wachinq hamnazo sana
 
Back
Top Bottom