Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 77,270
- 111,361
Hadi sasa chanzo cha moto hakijabainishwa ila tetesi zinasema ni mlipuko wa battery za Li-ion za magari ya umeme yaliokua yamebebwa.
Na hizi battery zimeanza kuwa kimeo, kuna kiwanda cha Lithium battery kiliwaka moto na kuungua chote South Korea...