poleniMeli inayoenda kwa jina la "Morning Midas" ikiwa imebeba bidhaa za mafuta pamoja na magari zaidi ya 3,000 kutoka China imezama baada ya kushika moto.
View attachment 3386807
Baada ya kushika moto, crew members 22 waliomo walishindwa kuzima wakaona isiwe tabu waka abandon.
Hadi sasa chanzo cha moto hakijabainishwa ila tetesi zinasema ni mlipuko wa battery za Li-ion za magari ya umeme yaliokua yamebebwa.
Hapa nahisi makampuni ya insurance yatatamani yafungwe.
Source: https://www.cnn.com/2025/06/24/us/morning-midas-ship-sinks-northern-pacific
Hii inaweza kuwa sababu kweli?ila tetesi zinasema ni mlipuko wa battery za Li-ion za magari ya umeme yaliokua yamebebwa.
Hili ni pigo la bidhaa za China tena ikiwa itathibitika ni betri za magari yao ya umemeMeli inayoenda kwa jina la "Morning Midas" ikiwa imebeba bidhaa za mafuta pamoja na magari zaidi ya 3,000 kutoka China imezama baada ya kushika moto.
View attachment 3386807
Baada ya kushika moto, crew members 22 waliomo walishindwa kuzima wakaona isiwe tabu waka abandon.
Hadi sasa chanzo cha moto hakijabainishwa ila tetesi zinasema ni mlipuko wa battery za Li-ion za magari ya umeme yaliokua yamebebwa.
Hapa nahisi makampuni ya insurance yatatamani yafungwe.
Source: https://www.cnn.com/2025/06/24/us/morning-midas-ship-sinks-northern-pacific
Si meli IPO kwenye motion, automatically magari hayo pia yalikuwa kwenye motion. Rudi kasome Newton law's of motion.Hii inaweza kuwa sababu kweli?
Magari si yalikua of, sasa ni jinsi gani inaweza kuwa sababu ya betri kulipuka
Oh nimekupata hapoIlivyoshika moto zaidi ya 3 days ikazama. Ilikua mbali na nchi kavu karibia km 500
China bado hawajakaa vizuri kwenye viwangoHadi sasa chanzo cha moto hakijabainishwa ila tetesi zinasema ni mlipuko wa battery za Li-ion za magari ya umeme yaliokua yamebebwa.
Hawawezi kukimbia, wamevuna sana mapesa mengi kwani ajali huwa chache sana.Kuna watu watakimbia kampuni hapo.
Mchina ni Mchina tuLi-ion betri za Tecno😁