Hadi sasa chanzo cha moto hakijabainishwa ila tetesi zinasema ni mlipuko wa battery za Li-ion za magari ya umeme yaliokua yamebebwa.
Macho madogo wana tech ndog
The 600-foot (183-meter) Morning Midas was built in 2006 and sails under a Liberian flag. The car and truck carrier left Yantai, China, on May 26 en route to Mexico, according to the industry site marinetraffic.com.Hili ni pigo la bidhaa za China tena ikiwa itathibitika ni betri za magari yao ya umeme
Sio rahisi kihivyoMichina hiyo, unaweza kukuta hakukua na gari hata moja wamebeba meli skrepa wakaipiga moto.
The 600-foot (183-meter) Morning Midas was built in 2006 and sails under a Liberian flag. The car and truck carrier left Yantai, China, on May 26 en route to Mexico, according to the industry site marinetraffic.com.Macho madogo wana tech ndogo
Ooh sawaThe 600-foot (183-meter) Morning Midas was built in 2006 and sails under a Liberian flag. The car and truck carrier left Yantai, China, on May 26 en route to Mexico, according to the industry site marinetraffic.com.
A Dutch safety board in a recent report called for improving emergency response on North Sea shipping routes after a deadly 2023 fire aboard a freighter that was carrying 3,000 automobiles, including nearly 500 electric vehicles, from Germany to Singapore
China bado hawajakaa vizuri kwenye viwango
Vichwa vinaanza kuwawaka motoWatu wa bima wanafurahia Sana tunavyotoa pesa.. Ngoja na wao walipe
Shida ya Mchina sio hana ubora bali bado ana compromise ubora wa bidha kulingana na soko.Sio wachina tu mkuu,
Hadi wazungu,
Tena wao ndo walioanza na haya majanga
Muasissi wao ni Elon musk na electric car zake za Tesla na cyber truck.
Kiuhalisia garri za umeme,usalama wake Bado ni mdg sana
Kwa makampuni ya wenzetu ni pesa ndogo, ingekuwa kampuni ya kibongo....Gari 3000 n nyingi ila ni chache sana kama meli ina insurance.
Sijui kwanini nmeiwaza Bumaco 😂Kwa makampuni ya wenzetu ni pesa ndogo, ingekuwa kampuni ya kibongo....
🤣🤣🤣Sijui kwanini nmeiwaza Bumaco 😂
ingekuwa n kibongo bongo mngezungushana sana mahakamani.