Uchaguzi 2020 Membe: Kamati Kuu haina mamlaka ya kunifukuza Uanachama wa CCM bali Halmashauri Kuu ya Taifa. Asema kati ya Juni na Oktoba chochote kinaweza tokea

Simtishi Membe bali ni kumjulisha kuwa baada ya zoezi la uchaguzi mkuu hapo Oktoba mwaka huu kwa hakika satoshi magumu mno!

Kama wasemavyo wao kwamba MWENYE KULITAFUTA NA HULIPATA.

Ni hayo tu.
Mtu uhukumiwa endapo atakwenda kinyume cha katiba, sheria na kanuni zake. Hivi kipi ambacho Membe kakifanya ili aweze kuyastahili hayo unayomtabiria? Je! Umejiandaaje kisaikolojia kwa kufikiri nje ya kasha kuhusiana na kuweza kutimia kwa ndoto zake za kuwa Rais wa JMT?

Kanuni za Mungu hakuna mwanadamu mwenye kuweza kuzielewa isipokuwa manabii wake wa kweli, kwa kuwa hakuna yeyote yule mwenye kuijua kesho yake isipokuwa tu jana yake.
 
Hivi hata fomu watampa kweli?
Wajuzi wa mambo mnaonaje?
 
...ataishi maisha magumu mno!
Kutaka kunogesha watia nia uraisi yamefikia hapo?Huko Zenj watia nia kwa tiketi ya CCM wapo 23,mbona kawaida?
Uoni ni kinyume cha ustaarabu wa Kitanzania kumtishia maisha yake?
Je Membe akiamua KUNUKA itakuwaje?
 
Simtishi Membe bali ni kumjulisha kuwa baada ya zoezi la uchaguzi mkuu hapo Oktoba mwaka huu kwa hakika satoshi magumu mno!

Kama wasemavyo wao kwamba MWENYE KULITAFUTA NA HULIPATA.

Ni hayo tu.

Usimlilie Membe. Jililie wewe mwenyewe na familia yako kwa kuwa baada ya Oktoba mtalia na kusaga meno!
 
Simtishi Membe bali ni kumjulisha kuwa baada ya zoezi la uchaguzi mkuu hapo Oktoba mwaka huu kwa hakika satoshi magumu mno!

Kama wasemavyo wao kwamba MWENYE KULITAFUTA NA HULIPATA.

Ni hayo tu.
Mtampiga risasi kama Lissu?
 
Simtishi Membe bali ni kumjulisha kuwa baada ya zoezi la uchaguzi mkuu hapo Oktoba mwaka huu kwa hakika satoshi magumu mno!

Kama wasemavyo wao kwamba MWENYE KULITAFUTA NA HULIPATA.

Ni hayo tu.
Mkuu wewe huijui CCM vizuri na humjui Membe. Kwa taarifa yako CCM si kamati kuu.
 
sio kila mtu ni muoga kama wewe,ili dunia ibaki sehemu yake lazima wapatikane watu wa aina zote.Hata babu zako walikuwa wanapigana na wakoloni wangeogopa namna hiyo leo Tanzania isingekuwepo.KIla kitu kinahitaji scarifies.
 
Unaweza kuuona muelekeo wa kesho yako kwa kutazama hali ilivyo leo.
Mtu uhukumiwa endapo atakwenda kinyume cha katiba, sheria na kanuni zake. Hivi kipi ambacho Membe kakifanya ili aweze kuyastahili hayo unayomtabiria? Je! Umejiandaaje kisaikolojia kwa kufikiri nje ya kasha kuhusiana na kuweza kutimia kwa ndoto zake za kuwa Rais wa JMT?

Kanuni za Mungu hakuna mwanadamu mwenye kuweza kuzielewa isipokuwa manabii wake wa kweli, kwa kuwa hakuna yeyote yule mwenye kuijua kesho yake isipokuwa tu jana yake.
 
Nimeamini bado kuna watu akili zao ni zaidi ya watumwa,walioswaga na mzungu Mmoja akiwa na bunduki tena porini,sasa wewe utajijua uko kundi gani
 
Gaddafi aliwatisha waliokuwa wanaandamana kuwa baada ya maandamo kuisha atawanyongaa,lakini badala take alinyongwa yeye
 
Unahisi ataishi maisha magumu lakini hujui huna uwakika ni mtazamo wako lakini mm mtazamo wangu hakuna hataishi maisha magumu.
 
Mkuu, wana mtandao wameamua kunyoosha makucha yao, na Halmashauri Kuu ya Taifa ni "their last resort, just keep a glance outta that"
Hivi hata fomu watampa kweli?
Wajuzi wa mambo mnaonaje?
 
Jamaa anaogopa kushindana nae? kwanini sasa? Si amruhusu au hataki challenge? Ukimchallenge anakumaliza kisa kashika mpini? Huo ndio ushujaa? Ndiyo uongozi wa kujiamini? Vijana wanajifunza nini kwake? Mungu anayemwendea kanisani nakutaka tumuombee ndivyo aagizavyo?
Membe hata akishindwa atakuwa kashinda!!
 
Back
Top Bottom