Kinjeketile
JF-Expert Member
- Dec 24, 2013
- 999
- 1,683
Namaanisha ndugu Membe ataishi maisha magumu sana baada ya uchaguzi mkuu wa hapo Oktoba mapema mwaka huu.
Wewe unaishi maisha mazuri? Pambana na njaa yako BOYA wewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namaanisha ndugu Membe ataishi maisha magumu sana baada ya uchaguzi mkuu wa hapo Oktoba mapema mwaka huu.
Kwani Magufuli ni Mungu? Hata Nkurunzinza alikuwa Kama Magufuli, weka akiba ya manenoSimtishi Membe bali ni kumjulisha kuwa baada ya zoezi la uchaguzi mkuu hapo Oktoba mwaka huu kwa hakika satoshi magumu mno!
Kama wasemavyo wao kwamba MWENYE KULITAFUTA NA HULIPATA.
Ni hayo tu.
Mtu uhukumiwa endapo atakwenda kinyume cha katiba, sheria na kanuni zake. Hivi kipi ambacho Membe kakifanya ili aweze kuyastahili hayo unayomtabiria? Je! Umejiandaaje kisaikolojia kwa kufikiri nje ya kasha kuhusiana na kuweza kutimia kwa ndoto zake za kuwa Rais wa JMT?Simtishi Membe bali ni kumjulisha kuwa baada ya zoezi la uchaguzi mkuu hapo Oktoba mwaka huu kwa hakika satoshi magumu mno!
Kama wasemavyo wao kwamba MWENYE KULITAFUTA NA HULIPATA.
Ni hayo tu.
SanaaSimtishi Membe bali ni kumjulisha kuwa baada ya zoezi la uchaguzi mkuu hapo Oktoba mwaka huu kwa hakika satoshi magumu mno!
Kama wasemavyo wao kwamba MWENYE KULITAFUTA NA HULIPATA.
Ni hayo tu.
Hivi hata fomu watampa kweli?Mtu uhukumiwa endapo atakwenda kinyume cha katiba, sheria na kanuni zake. Hivi kipi ambacho Membe kakifanya ili aweze kuyastahili hayo unayomtabiria? Je! Umejiandaaje kisaikolojia kwa kufikiri nje ya kasha kuhusiana na kuweza kutimia kwa ndoto zake za kuwa Rais wa JMT?
Kanuni za Mungu hakuna mwanadamu mwenye kuweza kuzielewa isipokuwa manabii wake wa kweli, kwa kuwa hakuna yeyote yule mwenye kuijua kesho yake isipokuwa tu jana yake.
Kutaka kunogesha watia nia uraisi yamefikia hapo?Huko Zenj watia nia kwa tiketi ya CCM wapo 23,mbona kawaida?...ataishi maisha magumu mno!
Atapata tabu sana sio?....ataishi maisha magumu mno!
Simtishi Membe bali ni kumjulisha kuwa baada ya zoezi la uchaguzi mkuu hapo Oktoba mwaka huu kwa hakika satoshi magumu mno!
Kama wasemavyo wao kwamba MWENYE KULITAFUTA NA HULIPATA.
Ni hayo tu.
Mtampiga risasi kama Lissu?Simtishi Membe bali ni kumjulisha kuwa baada ya zoezi la uchaguzi mkuu hapo Oktoba mwaka huu kwa hakika satoshi magumu mno!
Kama wasemavyo wao kwamba MWENYE KULITAFUTA NA HULIPATA.
Ni hayo tu.
Mkuu wewe huijui CCM vizuri na humjui Membe. Kwa taarifa yako CCM si kamati kuu.Simtishi Membe bali ni kumjulisha kuwa baada ya zoezi la uchaguzi mkuu hapo Oktoba mwaka huu kwa hakika satoshi magumu mno!
Kama wasemavyo wao kwamba MWENYE KULITAFUTA NA HULIPATA.
Ni hayo tu.
Gadeeem this Man got balls hehe!Wakuu mwanaume aliyebaki tz amejinasibu kutangaza kugombea urais 2020 kupitia ccm nimesema mwanaume aliyebaki tz ni baada ya mabaharia kusalimu amri kwa jiwe na kuomba msamaha
View attachment 1486326
Mtu uhukumiwa endapo atakwenda kinyume cha katiba, sheria na kanuni zake. Hivi kipi ambacho Membe kakifanya ili aweze kuyastahili hayo unayomtabiria? Je! Umejiandaaje kisaikolojia kwa kufikiri nje ya kasha kuhusiana na kuweza kutimia kwa ndoto zake za kuwa Rais wa JMT?
Kanuni za Mungu hakuna mwanadamu mwenye kuweza kuzielewa isipokuwa manabii wake wa kweli, kwa kuwa hakuna yeyote yule mwenye kuijua kesho yake isipokuwa tu jana yake.
Hivi hata fomu watampa kweli?
Wajuzi wa mambo mnaonaje?