Uchaguzi 2020 Membe: Mimi nilitafuta wadhamini kimya kimya kukwepa mtego wa kuvunja kanuni na kuanza kampeni mapema

hmmm mimi sio mwanasiasa lakini naweza kufikiri hawa jamaa wanamuogopa sana Lissu.

Maana hawaishi vimbwanga kama watoto wa mama wa kambo!

Kama wewe siyo mwanasiasa na umeliona hili, ukiwa mwanasiasa utatisha sana.

Ambacho sielewi, ni kwa nini wanaogopa wakati tume wanayo na matokeo hayapingwi mahakamani.
 
Yani wewe unajua sheria kuliko waliotunga hizo sheria?

Vituko hivi
Karne ya 21,nimefurahishwa na wagombea wa Jimbo la geita vijijini na sengerema mkoa wa mwanza. Tanzania nzima iige mfano huo kwenye kuchagua wabunge.
 
Yani wewe unajua sheria kuliko waliotunga hizo sheria?

Vituko hivi
Karne ya 21,nimefurahishwa na wagombea wa Jimbo la geita vijijini na sengerema mkoa wa mwanza. Tanzania nzima iige mfano huo kwenye kuchagua wabunge.
 
Yani wewe unajua sheria kuliko waliotunga hizo sheria?

Vituko hivi
Kama waliozitunga wanazijua kuliko wengine,mbona hawaji mahakamani kuzifanyia hukumu,?kwa taarifa tu, Lissu kakosea kanuni,na ataenguliwa,Sheria zinasomewa ndugu.
 

Ukiwa hujuwi sheria lazima utakuwa muoga muoga na mwisho we hata nchi hutaweza kuiongoza kwa kufuata sheria maana huzifahamu. Lissu alishasema kisheria huwezi kuanza kampeni mapema wakati hujateuliwa hiyo haiwi kampeni kwakuwa hujaidhinishwa kuwa mgombea hivyo zinakuwa ni ziara za kutafuta tu wadhamini au kuimarisha chama kampeni wanafanya wagombea na sasa bado tume haijateua wagombea. Aelewe sheria vizuri siyo anakuwa muoga muoga. Anaonekana kama anatumiwa ukimsikiliza kwa makini anaombea Lissu akatwe akidhania kuna kosa lolote limekiukwa kumbe hakuna. Kama ni kuenguliwa Magufuli pia itabidi aenguliwe basi maana yeye hakuwa anatafuta wadhamini ila kuhamasisha watu wachague chama chake pia.
 
Huyu jamaa Act walimuamini vipi Hadi kumpa wadhifa wa kugombea nafasi nyeti hivyo.Mbona Ni pandikizi hili?
ACT unaijua vizuri angali mazao yake YULE mkuu wa mkoa kilimanjaro angalia kitila unganisha dot
 
Kwa hiyo foreigner anaichagulia Tume ya Uchaguzi ya JMTZ iliyopo Kikatiba ni mgombea yupi impitishe na yupi isimpitishe? Bahati yako ni Mwanamke, na mimi naheshimu Wanawake sana vinginevyo ungeipata leo, ...
Ni sheria sio Amsterdam wala Tume ya uchaguzi
 
Membe kashaanza kutuvuruga!

I knew Membe ni tatizo.....Chadema knew all this!

Fvck Membe!
 
Tundu Lisu anakatwa na hakuna kitu wewe au yeye mtafanya, ...
Anakatwa na nani?

Yaani Mgombea mmoja ana uwezo wa kumkata mgombea mwenzake kwenye democratic process?

Ndio maana tunasema dictatorship ni tatizo...

Dictator ni above the law,hivyo rule of law goes outta window..

Eti ooh Magufuli ni dikteta mzuri,no such thing as a benevolent dictator....A good dictator is only the dead one!

Akatwe mtu bila hearing au judicial process muone vuruga itakayotokea...

Dictatorship is a curse...

Na tupo humu na majitu mazima yenye ma-degree yanashabikia dictatorship...hivi akili mliacha chooni?
 
Kwani nyie mnaelewaga basi!

Mpaka mpigwe kidogo kwenye vichwa hivyo ndio mnaelewa.

Hivi unafikiri Membe na Magufuli hawakuwa na hela za kuzungukia mikoani kutafuta wadhamini?

Tajeni hiyo sheria basi mbona mnazunguka tu sijui kanuni sijui nini, iko hivi kwenye vyama ndiko kwenye hayo makatazo ya kuanza kampeni mapema sasa watu kama Membe ameshazoea hizo kanuni za chama chake anadhani kuna sheria ya uchaguzi inayokataza kuanza kampeni mapema. Kwanza haiwezekani sababu wagombea wakishaidhinishwa huwa wanaruhusiwa kuanza kampeni sasa watawezaje kuanza kampeni kabla ya kuidhinishwa na tume ni mambo ya kuchekesha sana watu wenye akili wanahangaika kiasi hicho. Nakumbuka Membe mwaka 2015 kidogo aenguliwe na chama chake kwa kosa hilo ndiyo maana sasa hivi hata akiguswa na jani anafikiri ni nyoka.
 
Membe nae haishi kutapatapa,

Truth be told Membe hana mvuto kwa watanganyika na pia hana msuli wa kupambana na Magufuli, isitoshe na yeye amekuwa sehemu ya mifumo kandamizi tangu alipoanza kazi serikalini.

Aache kujishaua hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…