Membe waonee huruma Hawa wake wawili wa Musiba kama umewakatalia viongozi wa dini

Kama alichokuwa anasema kweli,basi hoja zake zingemfanya ashinde kesi
Kusema ukweli na kushinda kesi ni vitu viwili tofauti, sawa na ardhi na mbingu.

Mfano mimi leo naweza nikakufuma unafumuliwa marinda, ila nikadiriki kutangaza wakati sina ushahidi wowote, zaidi tu ya kwamba nilikuona kwa macho yangu, basi mahakamani nitaonekana nina hatia ya kukuchafua, na naweza uaknidai fidia ya kukuchafua. Hiyo haimaanishi nilikusingizia, no!
 
Mali zake zipigwe mnada tu,, wanaume tupo tutamsaidia kutunza wake zake wawili hao. Vitu vipigwe mnada.
 
Kati ya watu ambao mtu anapaswa kujiepusha nao ni wasio weza kuomba msamaha.
Kuna watu hawezi kabisa kusema "samahani" "nisamehe" "nitajirekebisha" "nilikosea" "Niwie radhi" nk
Hao watu kaa nao kwa umakini. Wengi wao hawana Utu.
 
Umma upi unamlilia Msiba?
Kipindi kile anawatisha na kuwakashifu watu mbina hamkumpa ushauri
Narudia tena ikiwezekana anyongwe kabisa
 
Mahakama imehukumu Membe yeye ni Nani apindue hukumu ya mahakama!?
 
msiba hawataishia kumfilisi tu, Bali watamfokonyoa hadi marinda... Yeye na wapumbavu wenzake walikua wanadhan jiwe ni mungu kwamba hafi ataishi milele... Malipo hapahapa duniani
Musiba anyooshwwee vzr mpuuz yule ,membe kuwa serious
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…