BabaDesi
JF-Expert Member
- Jun 30, 2007
- 6,122
- 4,060
...Wale Wale !...Huenda aliyosema Musiba ni kweli na ukweli unauma ndio maana anashindwa kumsamehe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
...Wale Wale !...Huenda aliyosema Musiba ni kweli na ukweli unauma ndio maana anashindwa kumsamehe.
"Kinywani mwake ndiko tatizo lilipoanzia"Naomba niseme kwa ufupi sana, Mwera Bernard Membe ana hasira na chuki ya wazi kwa mtukanaji Ciprian Musiba. Hali hii Sasa ni Tete.
Yono anatangaza mnada wa mali za Musiba Ijumaa na wanunuzi wameshajaa ofisini kwa Yono na miongoni mwao ni waliotukanwa na Musiba. Membe amekataa ushauri wa kila kiongozi wa dini kusamehe. Binafsi simjui Membe lakini kama vile umma unamlilia Musiba?
Ushauri wangu, Dk. Bashiru Ally (SG) mstaafu mwakoe Musiba kwa yote "mema" aliyowatendea. Usimkwepe. Jana amekupigia kupitia namba 0727 2393** saa Tano asubuhi ukamjibu, "Niko kikaoni" ilhali ulikuwa Dodoma Hotel na Naibu Waziri. Jamani mambo yenu Yako uchi.
Kama Kuna wakati Sukuma Gang kumsaidia filimbi yenu Musiba ni Sasa. Kabudi, Bashiru, Kalemani, Waziri wa Sheria na Katiba uliyedhamiria kumzamisha Samia na kampuni yenu Greatwall Restaurant msaidieni mwenzenu. Membe anawazamisha.
...Ni Jeuri ! Hataki kuonekana analamba Matapishi...!Msiba alitakiwa kuomba msamaha.
Tena angeitisha wanahabari kama alivyofanya mwanzo.
Na angewajumuisha wazee wa busara ili watie nguvu.
Nini kinamzuia kuomba msamaha hata sasa?
Unaufahamu uchungu wa kufedheheshwa?, tena mstaafu, ambaye alikuwa mtumishi wa umma?, kuharibu heshima yako na utu wako wote mbele ya jamii nzima uliyoitumikia kwa miongo tele? (kuvuliwa nguo na kuachwa uchi na kufedheheshwa)Mmmh kibinadamu Bora mh Membe angesamehe tu, mbona Duniani tunapita?
...Mshana, Huyu ni Musiba ?? Ameyajuaje haya ??...[emoji848][emoji848]Jana amekupigia kupitia namba 0727 2393** saa Tano asubuhi ukamjibu, "Niko kikaoni" ilhali ulikuwa Dodoma Hotel na Naibu Waziri. Jamani mambo yenu Yako uchi.[emoji3064][emoji848]
Ni vyema Musiba pia aombe msamaha hadharani maaba alikuwa akikashifu watu hadharani.Mmmh kibinadamu Bora mh Membe angesamehe tu, mbona Duniani tunapita?
Mkuu adhabu ni kali mno
Ana familia mkumbuke
Hahahha.. Kuna watu hufanya makosa mabaya just bcoz kuna uchochoro wa msamaha au familia sijui wake zangu sijui mtoto gani. Mimi ukinikosea ukakimbilia kuomba msamaha nitakusamehe ila matokeo lazma uyapate.Wakati anaropoka hakujua kama ana familia
Mwana kulifind mwana kuliget [emoji4]Ataanza upya kama JOBLESS wengine, ni wakati wa yeye kuoneshwa MAKALI sasa
Naomba niseme kwa ufupi sana, Mwera Bernard Membe ana hasira na chuki ya wazi kwa mtukanaji Ciprian Musiba. Hali hii Sasa ni Tete.
Yono anatangaza mnada wa mali za Musiba Ijumaa na wanunuzi wameshajaa ofisini kwa Yono na miongoni mwao ni waliotukanwa na Musiba. Membe amekataa ushauri wa kila kiongozi wa dini kusamehe. Binafsi simjui Membe lakini kama vile umma unamlilia Musiba?
Ushauri wangu, Dk. Bashiru Ally (SG) mstaafu mwakoe Musiba kwa yote "mema" aliyowatendea. Usimkwepe. Jana amekupigia kupitia namba 0727 2393** saa Tano asubuhi ukamjibu, "Niko kikaoni" ilhali ulikuwa Dodoma Hotel na Naibu Waziri. Jamani mambo yenu Yako uchi.
Kama Kuna wakati Sukuma Gang kumsaidia filimbi yenu Musiba ni Sasa. Kabudi, Bashiru, Kalemani, Waziri wa Sheria na Katiba uliyedhamiria kumzamisha Samia na kampuni yenu Greatwall Restaurant msaidieni mwenzenu. Membe anawazamisha.
Kwani kusahehe lazima?Mmmh kibinadamu Bora mh Membe angesamehe tu, mbona Duniani tunapita?
Kama alichokuwa anasema kweli,basi hoja zake zingemfanya ashinde kesiAmsamehe kwa lipi na mtu alisema ukweli?