Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahNaomba niseme kwa ufupi sana, Mwera Bernard Membe ana hasira na chuki ya wazi kwa mtukanaji Ciprian Musiba. Hali hii Sasa ni Tete.
Yono anatangaza mnada wa mali za Musiba Ijumaa na wanunuzi wameshajaa ofisini kwa Yono na miongoni mwao ni waliotukanwa na Musiba. Membe amekataa ushauri wa kila kiongozi wa dini kusamehe. Binafsi simjui Membe lakini kama vile umma unamlilia Musiba?
Ushauri wangu, Dk. Bashiru Ally (SG) mstaafu mwakoe Musiba kwa yote "mema" aliyowatendea. Usimkwepe. Jana amekupigia kupitia namba 0727 2393** saa Tano asubuhi ukamjibu, "Niko kikaoni" ilhali ulikuwa Dodoma Hotel na Naibu Waziri. Jamani mambo yenu Yako uchi.
Kama Kuna wakati Sukuma Gang kumsaidia filimbi yenu Musiba ni Sasa. Kabudi, Bashiru, Kalemani, Waziri wa Sheria na Katiba uliyedhamiria kumzamisha Samia na kampuni yenu Greatwall Restaurant msaidieni mwenzenu. Membe anawazamisha.
Mungu katika hekima zake aliweka mamlaka za wanadamu na sheria mbslimbali za kufuatwa.Labda tuseme kipindi kile musiba alikuwa mateka, aliyafanya Yale yote kwa shinikizo la jiwe kwamba kufanya kinyume Cha maagizo ingekuwa hatari yake na familia yake...[emoji848]?
Lkn upande wa pili unakataa kwa tone ile na kwa maelezo yake mwenyewe alikuwa akisema hakuna aliyemtuma.
Alitukana wazee wa ccm, alitukana na kudhalilisha upinzani, alimtukana lisu matusi ya nguoni aaggghhh musiba ulikera sn[emoji3061]
Kinywee kikombe chako Sasa.
Aha ha ha.MIMI NI SHABIKI WA MUSIBA
NIKO TAYARI KULEA HAO WAKE ZAKE.
EBU NIPE KONTACKI MWAMBA.
Pesa anazo, atalipa kabla ya muda!Aliyekuwa anamtuma ndio amlipie
Safi sana, maendeleo hayana chama.Lugha uliyotumia hapa ni ya kifedhuli, msiba aishi na msiba wake, hafai kusamehewa kabisa. Ameumiza wengi sana.
Ni kweli ila membe ana mengi sana anayoyakumbuka moyoni, nikukumbusha tu moja ya maneno yake kutoka katika moja ya cips zake nyiiingi sana zilizojaa matusi, kashfa na majigambo dhidi ya membe.Mmmh kibinadamu Bora mh Membe angesamehe tu, mbona Duniani tunapita?
...Alipokua anatukana Watu na Kuwavua nguo, hakuwa na familia ? Waliokuwa Wanatukanwa hawakuwa na Familia Zao ?Mkuu adhabu ni kali mno
Ana familia mkumbuke
Ngoma ni Leo mzee baba, mi nasubiria kale magari tu alichohongwaga na sukuma gang🤣🤣Kuna watu hawatanii wakishaamua hawarudi nyuma kimasikhara mali zinapigwa mnada
...Halafu Jamaa amenona kweli ! Nahisi Sasa amekonda ![emoji3590]...Mi nmecheka tu hapo alivyomalizia Eti Serikali ya Magufuli Inafanya kazi "Leo, Kesho na Hata Milele" [emoji1787][emoji3]
Aisee kweli Mwanadamu akishiba huwa anajisahau Sana,
Enewei Wakuu nina swali Kwenye Minada hakunaga Mashabiki ?