FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Kusema ukweli na kushinda kesi ni vitu viwili tofauti, sawa na ardhi na mbingu.Kama alichokuwa anasema kweli,basi hoja zake zingemfanya ashinde kesi
Mfano mimi leo naweza nikakufuma unafumuliwa marinda, ila nikadiriki kutangaza wakati sina ushahidi wowote, zaidi tu ya kwamba nilikuona kwa macho yangu, basi mahakamani nitaonekana nina hatia ya kukuchafua, na naweza uaknidai fidia ya kukuchafua. Hiyo haimaanishi nilikusingizia, no!