Membe waonee huruma Hawa wake wawili wa Musiba kama umewakatalia viongozi wa dini

Asiishie tu kupiga mnada, fedha zitakazopatikana azitumie kulipa ada ya kumuweka gerezani kufidia deni linalobaki kwasababu hizo mali hazitatosha kumaliza deni.
Huyo kenge atakuwa mfano kwa chawa wote
 
Kazama kwao ni kheri kwa taifa kuliko kuendelea wakielea wakati wao wamezamisha wengi kwa kibri chao
 

Ni kutengeneza Taifa la hovyo ambalo mtu akifanya uovu anategemea kusamehewa!! Hapana!! Aulipie uovu wake liwe fundisho kwa wengibe waache upumbavu!!
 
Membe kaza uzi hakuna msamaha amekudhalilisha sana pia kadhallisha mpaka Marais wastaafu alipe pesa iwe fundisho kwa vibaraka wengine wa ukabila
 
Tunataka pesa
 
Musiba Kawa na Msiba apate anachostahili, tunajua kisasi ni cha Mungu ila ikumbukwe tumeumbiwa kwa mfano wa Mungu, atusamehe bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…