makedonia
JF-Expert Member
- Nov 17, 2014
- 4,171
- 3,461
Unajua hasara ya membe aliyoipata kuutafuta URAIS ndugu?Mmmh kibinadamu Bora mh Membe angesamehe tu, mbona Duniani tunapita?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajua hasara ya membe aliyoipata kuutafuta URAIS ndugu?Mmmh kibinadamu Bora mh Membe angesamehe tu, mbona Duniani tunapita?
Mmh... Haya ngoja tuone..Hata awe Rais Cha msingi alipe Deni law watu kesho.
Msuba Cyprian alikuwa yupo tayar kuona hata wakina membe wananyongwa,Hivi kuna watu wamesahau yale mambo yake? Ukikumbuka tu, hata hii adhabu aliyopewa, utaiona ni ndogo!
Taifa litaendelea kujaa wapiga Debe badala ya wafanyakazi mahiri.Musiba hapaswi kusamehewa
Tutatengeneza taifa la hovyo waropokaji wakitegemea kusamehewa kwa mgongo wa vitabu vya Dini.
Anapaswa anyooshwe vzur awe example kwa waropokaji wengn Hapa nchini[emoji4]
No way!Maskini amsamehe tu,
Hapa akifanyiwa maombi na mchungaji mpenda SADAKA!Nadhani Membe asirudi nyuma ili iwe reference nzuri nchini,Kuna kizazi kimekuja hakina adabu kabisa mfano kina Makonda,Hapi,Mnyeti,Sabaya,Gambo,na wengine walikuwa wanafanya mambo yasiyo ya kiuongozi kabisa....... kutukana watu ovyo,kutoa lugha zisizo na staha, kujiona wao hawagusiki.Binafsi simuonei huruma Corian
Musiba ndugu yangu,tulia uandike vizuri sasa.Naomba niseme kwa ufupi sana, Mwera Bernard Membe ana hasira na chuki ya wazi kwa mtukanaji Ciprian Musiba. Hali hii Sasa ni Tete.
Yono anatangaza mnada wa mali za Musiba Ijumaa na wanunuzi wameshajaa ofisini kwa Yono na miongoni mwao ni waliotukanwa na Musiba. Membe amekataa ushauri wa kila kiongozi wa dini kusamehe. Binafsi simjui Membe lakini kama vile umma unamlilia Musiba?
Ushauri wangu, Dk. Bashiru Ally (SG) mstaafu mwakoe Musiba kwa yote "mema" aliyowatendea. Usimkwepe. Jana amekupigia kupitia namba 0727 2393** saa Tano asubuhi ukamjibu, "Niko kikaoni" ilhali ulikuwa Dodoma Hotel na Naibu Waziri. Jamani mambo yenu Yako uchi.
Kama Kuna wakati Sukuma Gang kumsaidia filimbi yenu Musiba ni Sasa. Kabudi, Bashiru, Kalemani, Waziri wa Sheria na Katiba uliyedhamiria kumzamisha Samia na kampuni yenu Greatwall Restaurant msaidieni mwenzenu. Membe anawazamisha.