TANZIA Member deo paul55 wa JamiiForums afariki dunia

Yaani taarifa ya msiba itolewe kwa Jina fake sasa itakua na maana gani?Watu waende kuzika ID fake?
 
Mungu airehemu roho yake pahala pema peponi,amina.

Note:Sanitarian acheni tamaa km hamjui acheni kubuni ili mpate wa kuwauzia dawa zenu,niliwahi kwenda hapo kwa matatizo ya mgongo nikapimwa na kuambiwa nina magonjwa 120 kweli jamani;magonjwa 120?

Sio muda wa kulaumiana kutokana na mwenzetu kututoka but yawezekana nanyi mmechangia hata 25%ya umauti wa Deo
 
I agree 1,000%

Gross violation of privacy rights expected at an anonymous forum.

R.I.P

Misdiagnosed and tormented for decades. Shame on the hospitals and health policy makers.
 
Hapana zipo sbb nyingine pia!
 
Gone too early
 
Kifo ni ukumbusho kuwa Dunia ni mapito,
Jiheshimu,
Waheshimu wenzako kisha
Mpende Mungu,
Achana na stress zisizokua na maana kisha enjoy ur life,

Inna lilahi waina ilaihi rajioon,
Sisi ni wa Mungu na kwake tutarejea.


Peace and Love.
I see.
 
RIP kijana mbichi
 
M/Mungu ..amsameh. ... apumzike kwa amani...

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Kwamujibu wa biblia..muda wa mtu kutubu nakusamehewa dhambi ni wakati akiwa hai..yeye mwenyewe kumlilia muumba wake amsamehe dhambi zake..ukisha kufa ndio ukurasa wako umefungwa..unachosubiri ni hukumu ta haki..


#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Lil Wayne

Am a bad muuhfucka coz the good die young.

-Blunt Blowin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…